Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 52
  • Wakfu wa Kikristo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wakfu wa Kikristo
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Wakfu wa Kristo
    Mwimbieni Yehova
  • Wakfu wa Kikristo
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Msifuni Yehova Mungu Wetu!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Msifuni Yehova Mungu Wetu
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 52

WIMBO NA. 52

Wakfu wa Kikristo

Makala Iliyochapishwa

(Waebrania 10:7, 9)

  1. 1. Ulimwengu uliumbwa

    Na Yehova Mungu,

    Dunia na anga pia,

    Vyote aliumba.

    Ndiye Chanzo cha uhai,

    Kaonyesha wazi.

    Anastahili sifa zote,

    Na ibada ya wote.

  2. 2. Na Yesu alibatizwa

    Atimize haki.

    Alimwambia Yehova:

    ‘Naja kutumika.’

    Alipotoka Yordani,

    Mtiwa-mafuta,

    Alisali kwa Baba yake:

    ‘Mapenzi yatimie.’

  3. 3. Twasimama mbele zako,

    Kukusifu wewe.

    Tunajikana wenyewe,

    Tuwe mali yako.

    Ulitoa Mwana wako,

    Bei kubwa sana.

    Hivyo maisha yetu yote,

    Tumejitoa kwako.

(Ona pia Mt. 16:24; Marko 8:34; Luka 9:23.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki