Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 13
  • Wakfu wa Kikristo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wakfu wa Kikristo
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Wakfu wa Kristo
    Mwimbieni Yehova
  • Wakfu wa Kikristo
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kujiweka Wakf—Kwa Nani? kwa Sababu Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
  • Kujiweka Wakfu—Kwa Nani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 13

Wimbo 13

Wakfu wa Kikristo

(Kutoka 39:30)

1. Ni Yehova aliumba

Ulimwengu wote,

Dunia na anga pia,

Kazi zake zote.

Uhai ameutoa

Viumbe vijue

Ndiye wa kusifiwa sana,

Vimwabudu yeye tu.

2. Waisraeli wa kale,

Walisema hivi:

Tutazitii sheria

Zote za Yehova,

Alikuwa mume wao;

Akawanunua.

Taifa la wakifu kwake

Daima liwe hivyo.

3. Na Yesu alibatizwa

Atimize haki,

Akajitoa kwa Mungu

Afanye mapenzi.

Alipotoka Yordani

Mupakwa wa Mungu,

Amutumikie Yehova

Akiwa muwakifu.

4. Twakujia E Yehova,

Tusifu jinako.

Tujikane na kuweka

Maisha wakifu.

Ulitoa Mwana wako

Bei kubwa sana.

Tufe, tuishi sisi wako

Tumejitoa kwako.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki