Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Mei uku. 7
  • Epuka Mtego wa Kuwaogopa Wanadamu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Epuka Mtego wa Kuwaogopa Wanadamu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Mtume
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Tayari Kuhubiri Licha ya Mateso
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
  • “Nimewawekea Kielelezo”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Jinsi Tunavyoweza Kuushinda Woga
    Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Mei uku. 7

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MARKO 13-14

Epuka Mtego wa Kuwaogopa Wanadamu

Kwa nini mitume walishindwa kuwa jasiri walipokabili shinikizo?

14:29, 31

  • Walijiamini kupita kiasi. Hata Petro alihisi kwamba yeye angekuwa mshikamanifu kwa Yesu kuliko mitume wengine wote

    Petro akimkana Yesu

14:32, 37-41

  • Hawakuendelea kukesha na kusali

    Mitume wakilala huku Yesu akisali

Baada ya ufufuo wa Yesu, ni nini kilichowasaidia mitume waliotubu kuepuka kuwaogopa wanadamu na kuhubiri licha ya upinzani?

13:9-13

  • Walizingatia maonyo ya Yesu, kwa hiyo walikuwa tayari kukabiliana na upinzani na mateso

  • Walimtegemea Yehova na wakasali.—Mdo 4:24, 29

    Petro na Yohana wakiwa mbele ya Sanhedrini

Ni hali zipi zinazoweza kujaribu ujasiri wetu?

Mwanamke Shahidi aliyelazwa hospitalini akizungumza na daktari; mvulana Shahidi darasani akikataa kuisalimu bendera; Shahidi akipokea mwaliko wa kuhudhuria karamu ya ofisini
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki