Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • nwt kur. 2106-2107
  • B12-A Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 1)

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • B12-A Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 1)
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Nisani 8 (Sabato)
  • Nisani 9
  • Nisani 10
  • Nisani 11
  • B12-B Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 2)
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Ratiba ya Usomaji wa Biblia ya Ukumbusho wa 2023
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Ratiba ya Usomaji wa Biblia wa Ukumbusho wa 2022
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Ratiba ya Usomaji wa Biblia wa Ukumbusho wa 2024
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Pata Habari Zaidi
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
B12-A Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 1)

B12-A

Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 1)

Makala Iliyochapishwa

Nisani 8 (Sabato)

MACHWEO (Kwa Wayahudi siku huanza na kwisha jua linapotua)

  • Awasili Bethania siku sita kabla ya Pasaka

  • Yohana 11:55–12:1

MAPAMBAZUKO

MACHWEO

Nisani 9

MACHWEO

  • Ala mlo na Simoni mwenye ukoma

  • Maria ampaka Yesu mafuata ya nardo

  • Wayahudi waja kumwona Yesu na Lazaro

  • Mathayo 26:6-13

  • Marko 14:3-9

  • Yohana 12:2-11

MAPAMBAZUKO

  • Yesu aingia Yerusalemu kwa shangwe

  • Afundisha hekaluni

  • Mathayo 21:1-11, 14-17

  • Marko 11:1-11

  • Luka 19:29-44

  • Yohana 12:12-19

MACHWEO

Nisani 10

MACHWEO

  • Alala Bethania

MAPAMBAZUKO

  • Aenda Yerusalemu mapema

  • Asafisha hekalu

  • Yehova azungumza kutoka mbinguni

  • Mathayo 21:18, 19; 21:12, 13

  • Marko 11:12-19

  • Luka 19:45-48

  • Yohana 12:20-50

MACHWEO

Nisani 11

MACHWEO

MAPAMBAZUKO

  • Afundisha hekaluni, akitumia mifano

  • Awashutumu Mafarisayo

  • Asifu mchango wa mjane

  • Kwenye Mlima wa Mizeituni, atabiri kuanguka kwa Yerusalemu na kutoa ishara ya kuwapo kwake wakati ujao

  • Mathayo 21:19–25:46

  • Marko 11:20–13:37

  • Luka 20:1–21:38

MACHWEO

  1. Yerusalemu na Maeneo Jirani

  2. 1 Hekalu

  3. 2 Bustani ya Gethsemane (?)

  4. 3 Jumba la Gavana

  5. 4 Nyumba ya Kayafa (?)

  6. 5 Jumba Lililotumiwa na Herode Antipa (?)

  7. 6 Bwawa la Bethzatha

  8. 7 Dimbwi la Siloamu

  9. 8 Ukumbi wa Sanhedrini (?)

  10. 9 Golgotha (?)

  11. 10 Akeldama (?)

  • Kinachoonyeshwa Kwenye Ramani

  • Bonde la Hinomu

  • Bonde la Kidroni

  • Mlima wa Mizeituni

  • Kwenda Bethfage na Bethania

  • Kwenda Bethania

  • Kinachoonyeshwa Kwenye Mpangilio wa Nyakati

  • Yesu afa 33 W.K.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki