1
Yerusalemu lazingirwa na Wababiloni (1, 2)
Mafunzo maalumu ya mfalme kwa vijana waliohamishwa (3-5)
Uaminifu wa vijana wanne Waebrania wajaribiwa (6-21)
2
Mfalme Nebukadneza aota ndoto ya kufadhaisha (1-4)
Wenye hekima washindwa kueleza maana ya ndoto (5-13)
Danieli amwomba Mungu msaada (14-18)
Mungu asifiwa kwa kufunua siri (19-23)
Danieli amwambia mfalme ndoto yake (24-35)
Maana ya ndoto (36-45)
Danieli aheshimiwa na mfalme (46-49)
3
Sanamu ya dhahabu ya Mfalme Nebukadneza (1-7)
Waebrania watatu washtakiwa kwa kukataa kuabudu (8-18)
Watupwa kwenye tanuru la moto (19-23)
Waokolewa kimuujiza kutoka motoni (24-27)
Mfalme amsifu Mungu wa Waebrania (28-30)
4
Mfalme Nebukadneza atambua utawala wa Mungu (1-3)
Ndoto ya mfalme kuhusu mti (4-18)
Danieli aeleza maana ya ndoto (19-27)
Utimizo wa kwanza wamhusu mfalme (28-36)
Mfalme amtukuza Mungu wa mbinguni (37)
5
Sherehe ya mfalme Belshaza (1-4)
Maandishi ukutani (5-12)
Danieli aombwa aeleze maana ya maandishi (13-25)
Maana: Kuanguka kwa Babiloni (26-31)
6
Njama ya maofisa Waajemi dhidi ya Danieli (1-9)
Danieli aendelea kusali (10-15)
Danieli atupwa kwenye shimo la simba (16-24)
Mfalme Dario amheshimu Mungu wa Danieli (25-28)
7
Maono ya wanyama wanne (1-8)
Mzee wa Siku afanya kikao (9-14)
Danieli ajulishwa maana ya maono (15-28)
Wanyama wanne ni wafalme wanne (17)
Watakatifu kupokea ufalme (18)
Kusimama kwa pembe kumi, au wafalme (24)
8
9
Danieli atoa sala ya toba (1-19)
Gabrieli amtembelea Danieli (20-23)
Majuma sabini ya kinabii yatabiriwa (24-27)
10
11
12