HABAKUKI YALIYOMO 1 Nabii alilia msaada (1-4) ‘Ee Yehova, mpaka lini?’ (2) “Kwa nini unavumilia ukandamizaji?” (3) Wakaldayo, watumiwa na Mungu kutekeleza hukumu (5-11) Nabii amsihi Yehova (12-17) ‘Mungu wangu, wewe hufi’ (12) ‘Wewe ni safi sana usiweze kutazama uovu’ (13) 2 ‘Nitakaa macho kuhusu atakalosema’ (1) Yehova amjibu nabii (2-20) ‘Endelea kutarajia maono’ (3) Mwadilifu ataishi kwa uaminifu (4) Ole tano kwa Wakaldayo (6-20) Dunia yote itajaa ujuzi kumhusu Yehova (14) 3 Nabii asali ili Yehova achukue hatua (1-19) Mungu atawaokoa watiwa-mafuta wake (13) Nitashangilia katika Yehova (17, 18)