Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • scl uku. 44
  • Kutendewa kwa Njia Isiyofaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutendewa kwa Njia Isiyofaa
  • Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
scl uku. 44

Kutendewa kwa Njia Isiyofaa

Huenda tukahisije ikiwa wengine wametutendea kwa njia isiyofaa?

Zb 69:20; Met 18:14; Mhu 4:​1-3; Mal 2:​13-16; Kol 3:21

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • 2Sa 10:​1-5—Ingawa baadhi ya askari katika jeshi la Mfalme Daudi hawakuumizwa kimwili, waliaibishwa sana na maadui wao, na Daudi anawaonyesha fadhili za pekee wanaume hao

    • 2Sa 13:​6-19—Tamari analia na kurarua mavazi yake baada ya kubakwa na kuaibishwa na Amnoni

Ni nini kinachoonyesha kwamba Yehova anatambua kikamili mtu anapotendewa isivyofaa, naye atafanya nini kuhusu hali hiyo?

Ayu 34:​21, 22; Zb 37:​8, 9; Isa 29:​15, 19-21; Ro 12:​17-21

Tazama pia Zb 63:​6, 7

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • 1Sa 25:​3, 14-17, 21, 32-38—Nabali—mwanamume mkali na mwenye tabia mbaya—anawaweka watu wa nyumba yake hatarini kwa kumtukana Daudi, na Yehova akampiga Nabali, naye akafa

    • Yer 20:​1-6, 9, 11-13—Mwanzoni Yeremia anavunjika moyo kuhani anayeitwa Pashuri anapompiga na kumweka katika mikatale; kisha Yehova anamtia moyo nabii wake na kumwokoa

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki