Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Watoto

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Watoto
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Afya na Magonjwa
  • Kutaniko la Kikristo
  • Mambo Yaliyoonwa
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

WATOTO

(Ona pia Familia; Kubalehe; Mayatima; Ngono [Kuvutiwa Kimapenzi na Watoto]; Uendekevu; Uzazi; Vijana; Watoto [Kudhulumiwa]; Watoto, Haki ya Kuwalea; Watoto, Kuwalea; Watoto Wachanga; Watoto wa Kupanga; Wazazi)

(Kuna vichwa vidogo: Afya na Magonjwa; Kutaniko la Kikristo; Mambo Yaliyoonwa)

Azimio la Haki za Mtoto la Umoja wa Mataifa: g00 12/8 3, 5

bunduki: g96 10/8 28

shuleni: g02 3/8 8-9

burudani: w05 1/1 25; g98 7/22 31

sinema: g05 5/8 11-14

dawa za kulevya:

wazazi wanavyoweza kuwalinda watoto: g 5/09 6-8; g03 4/8 5-9; g99 11/8 10

dhamiri:

kuheshimu dhamiri ya mtoto: ed 25

dini:

Amri Kumi za watoto kwa watu wazima: g98 12/8 29

idadi ya watoto wanaoenda kanisani (Kanada): g00 5/22 28

kama inafaa watoto wajichagulie dini: g97 3/8 26-27

familia zilizogawanyika kidini: w02 8/15 30-31; g02 10/8 7-8; w96 10/15 22

watoto wanavyoathiriwa wazazi wanapokuwa wafuasi wa dini tofauti: ed 24-25

furaha: w11 10/1 17; g02 7/8 29

gharama ya mahitaji ya msingi (duniani kote): g97 1/22 28

gharama za kumlea mtoto: g 10/11 29

Har-Magedoni:

watakaookoka: rs 87

Hazina ya Watoto ya Umoja wa Mataifa (UNICEF): g00 12/8 3, 8

ripoti: g05 9/8 29; g00 11/8 28; g00 12/8 4-5; g97 1/22 28

Intaneti: g 10/08 3-9; g97 7/22 10-13

habari za mtu binafsi: g 8/12 29

wanaweza kupata mambo ya mizungu kwa urahisi: g01 2/8 28

wanaweza kupata picha au habari chafu kwa urahisi: g 3/08 27; g 10/08 8; g00 6/8 4, 7, 9

Israeli (la kale):

elimu: ed 8-9

Waisraeli walizaliwa katika taifa lililokuwa limewekwa wakfu: w06 7/1 21-22

kama Mungu anawajali: g04 8/8 18-19

kifo cha watoto: g 12/09 14

idadi ya watoto wanaokufa: g99 7/8 3

jinsi ya kuwasaidia wazazi: w07 5/1 5-6; w00 4/15 7

kifo cha ghafula cha mtoto mchanga (SIDS): we 12; g99 3/22 31

kinachosababishwa na mambo yanayoweza kuzuiwa: g 5/06 14

kwa sababu ya mambo yasiyotazamiwa au kupangwa: g01 10/8 29

kwa sababu ya njaa: re 95; g 7/06 29

maoni ya kwamba Mungu alimchukua mtoto: w09 3/1 29; w02 6/1 6-7; w96 8/1 3-4

mtoto anayekufa maji: g02 12/22 29

mzazi anavyohisi: g 4/11 3; w07 5/1 3-4; g 1/06 32; we 3-5, 9-12, 15, 17; g04 3/22 29; w00 4/15 4

wazazi wanavyoweza kufarijika: w07 5/1 4-7

kompyuta: g04 8/22 28; g96 6/22 28

kucheza: g05 8/8 25-26; g04 10/22 9

jeuri katika michezo ya watoto: g02 12/8 13-15

kuwasaidia wapunguze muda wanaotazama televisheni: g05 9/22 28

mchezo wa kuigiza mambo yanayotendeka katika huduma ya shambani au mkutanoni: w04 10/1 32

ni bora kuliko kutumia kompyuta: g04 7/22 28-29

shule za watoto wadogo zisizo na vitu vya kuchezea: g04 9/22 12

wazazi kucheza pamoja na watoto: w11 11/1 19; g 10/11 29; w08 10/1 20

kuchukua mambo kwa uzito: w11 4/15 12-13

kuimba: g03 11/8 28

kujifunza lugha: g 10/11 4-5

kukosa usingizi: g03 3/22 9

kununua vitu kwenye Intaneti: g 3/10 27

kupendwa na wengi: g04 3/22 28

kupima kiwango cha akili: g98 4/22 28

kusali pamoja na watoto: g 11/12 10; w07 9/1 27; w05 1/1 26; w05 6/15 22

kutotii: fy 76-89

ishara ya siku za mwisho: w06 9/15 5

si watoto wote wasiotii ambao ni waasi: fy 77-78

watoto wasiowaheshimu wenye mamlaka: w00 8/1 3

kutumia pesa vizuri: g 3/09 7

kuwachunga watoto kwa muda, wazazi wanapokuwa na shughuli:

kuwaacha katika maduka ya vitu vya kuchezea au ya kompyuta badala ya kuwa na mtu kuwachunga: g96 3/22 28-29

kuwaacha watazame televisheni badala ya kuwa na mtu wa kuwachunga: w06 6/15 32

kuwapongeza watoto: w97 8/1 17

kuwasaidia watoto kuchagua marafiki:

kuwalinda wasiathiriwe na marafiki wabaya: g 8/09 4-5

mwongozo wa wazazi: w10 1/15 20; w07 9/15 10; w05 1/1 23-24; g05 4/22 29; w99 7/15 32

Wakristo ambao wamekomaa kiroho: w10 1/15 20; w09 7/15 10-11; w07 9/1 30

kuwasomea: g 10/11 29; g 5/10 30; g05 1/8 28; g04 8/8 6, 8; g04 10/22 9-10, 31; g03 7/8 29; g03 12/22 11; g01 11/22 14; g01 12/22 28; w99 5/1 25

maadili mapotovu: g00 4/8 8; w97 10/15 32

habari au picha chafu (ponografia): g 10/09 30; g 3/08 27; g00 6/8 4

mahitaji ya kihisia: w05 6/15 22-23

maisha ya familia: g 8/07 4; g97 8/8 8-11

familia za mzazi mmoja: g02 10/8 7-12; g00 2/8 3-11; g00 10/22 30

kuwasaidia wazazi kufanya kazi za nyumbani: g00 6/8 28; w98 4/1 8; g98 1/22 5

umuhimu kwa maendeleo ya mtoto: g98 1/22 29

wajibu wa watoto: lv 42-43

watoto wa kupanga (watoto wenye wazazi walezi): g03 4/22 3-4

watoto wanaoachwa nyumbani peke yao: g96 1/8 28

maisha ya utotoni: g03 4/22 3-10; g03 12/22 30

mambo ya ngono:

idadi ya watoto wanaofanya ngono inaongezeka: g 9/09 4-5

kumweleza binti kuhusu hedhi: g 5/06 10-13

mifumo ya kompyuta (ya umma): g97 7/22 10-13; g96 7/22 7-8

wazazi wanapaswa kuwafundisha kuhusu ngono: w11 2/1 18-20; w11 11/1 29; yp1 307-308; w10 11/1 12-14; g 10/07 6-8; w05 4/1 17-18; lr 57-60; g03 7/22 29; w98 2/15 8-11; w97 7/15 22-23; fy 90-94

marafiki:

katika mikutano ya kutaniko: w10 10/15 27

mwongozo wa wazazi: g 3/07 8-9; w04 6/15 6-7; g04 12/8 11; fy 95-97

wazee: g96 2/22 26-27; g96 11/22 30; g96 12/8 30

masimulizi ya Biblia: w05 6/15 25-26

msichana Mwisraeli aliyekuwa mateka: w12 2/15 12-13; w08 2/15 9-10; w08 6/1 24-25; w05 8/1 10; w03 10/15 25-26; lr 215-216; w96 5/15 8-9

Samweli alikuwa mwaminifu: w08 8/1 24-25

uaminifu wa Hezekia: w12 3/1 30-31

watoto wamdhihaki Elisha: w05 8/1 9

Yosia alikuwa mwaminifu: w09 2/1 24-25; w05 12/1 21

masomo ya muziki: g04 4/22 28; g98 7/8 28-29

matatizo:

duniani kote: g00 12/8 3-12

watoto wasio na baba: g00 2/8 7

matatizo ya kujifunza: g 1/09 10-11; g97 2/22 3-10; g97 11/22 30; g97 12/8 30

matatizo ya usemi: g 12/07 29; g96 1/22 29

kigugumizi: g 5/10 13; g98 9/22 14; g97 11/22 26

mayatima:

maisha bila wazazi: g98 11/22 23-25; g98 12/22 25-27

Makao ya Watoto ya SOS: g00 12/8 9

mazungumzo:

kusikiliza wanapoongea: g 10/11 10; w07 11/15 29-30; w01 10/1 10

kuwatia watoto moyo waongee: yp1 293-296; w07 9/1 25; g 8/07 8

watoto viziwi: g98 9/8 19-20, 22

yanavyoathiriwa na televisheni na kompyuta: g01 8/22 29

mfano kwa Wakristo: w07 2/1 8-11

mifano ya Yesu:

‘kuupokea Ufalme kama mtoto’ (Mk 10:15): w07 2/1 10-11

unyenyekevu: w12 11/15 15-16; w08 3/15 4; w07 2/1 8-10; w05 10/15 28; lr 12

milipuko ya hasira: g 10/11 6-7

mimba ambayo haikutarajiwa: g 10/11 9

mtazamo kuwahusu watoto: km 11/05 5-6

wasichana: fy 52

wazazi hawapaswi kuwatendea watoto kana kwamba wao ni watu wazima: g02 10/8 9; g97 8/8 11; g97 10/8 31

mtazamo wa Yesu kuwahusu: w10 5/15 9; w09 9/15 9-10; cf 139-140; my 94; lr 11-12; w00 2/15 15-16; w98 11/1 30-31

mtu wa familia anapokufa:

kuwasaidia watoto: g 7/12 13-15; yp1 312-313; w08 7/1 18-20; we 25

nchi hatari: g00 5/22 29

ndoto mbaya: g98 9/8 28

nguvu:

kuitumia kwa njia inayofaa: cl 101

pongezi ni muhimu: w10 1/15 20; w08 10/1 19; lv 141; w06 1/1 19; w04 10/1 18-19; w02 11/1 32; g98 1/22 5-6; g97 8/8 8

mambo yanayofaa kumsifia mtoto: g99 11/22 28

shinikizo la watoto wengine: w10 11/15 7-11; w08 12/15 8-9; yp2 128-135; w05 1/1 24-25

tafrija: w06 3/1 21; w05 1/1 25; g05 5/8 14; w04 6/15 6; fy 57-58, 97-101

inafaa wazazi kufurahia tafrija pamoja na watoto: w06 4/1 10

uamuzi wa kuwa na watoto au la: jr 94-95; w08 4/15 20; w00 8/1 20-23; w99 10/1 10

ubaguzi wa rangi: w07 2/1 11

uchunguzi mbalimbali:

kumwogopa Mungu: g97 12/22 29

mama wazuri: g98 11/22 28

mambo ambayo watoto hawapendi, na yale wanayopenda: g97 1/8 28-29

maoni kuhusu kifo (Japani): g03 3/8 28

sifa za “mwanamume halisi”: g02 8/22 28

ufufuo:

binti Yairo: lr 183-185

tumaini la ufufuo: w04 8/1 32; lr 182-186; w98 7/1 22

ugaidi unawaathiri watoto: g 6/06 3

uhitaji wa kiroho: w10 2/15 29; w08 4/15 19; w05 6/15 20-22; w98 7/15 6; g97 8/8 11

uhusiano kati ya watoto wa familia moja: yp1 40-47; g 8/10 26-29

uhusiano pamoja na wazazi:

kuwaheshimu wazazi: w07 2/15 23; w04 5/15 15-17; w00 6/15 15-16

kuwatii wazazi: lv 42-43; w07 2/15 23-27; cf 62; bh 141-142; od 207-208; w04 10/15 21; lr 44-46, 213; w02 3/15 11; w01 4/1 30-31

kuwatii wazazi wasio waamini: fy 134-135

mamlaka ya wazazi: lv 42-43

maoni kuhusu sheria za wazazi: w10 11/15 3-4

mazungumzo: w10 6/15 23; w10 11/15 4-5

mzazi anapooa au kuolewa tena: yp1 34-39

uhitaji wa kuguswa na wazazi: g02 12/8 28

wanahitaji kufundishwa kuhusu maadili: lr 6

wanahitaji kutumia wakati pamoja na wazazi: g 10/11 13; w06 6/15 32; w06 11/1 4, 6

wazazi ambao si mfano mzuri: w10 9/1 14

wazazi wanapotengana: yp1 28-33

wazazi wanapowapuuza watoto: g96 11/8 28-29

upendo ni muhimu kwa watoto: w08 5/1 8; g 8/07 4; w05 6/15 22-23; g00 12/8 6-9

ili wajifunze: g04 8/8 4-6

jinsi ya kuwahakikishia watoto kwamba wanapendwa: w08 10/1 19; g04 2/8 30; g04 10/22 8; g97 8/8 3-4, 8-9; w96 9/1 20

kuwakumbatia, kuwapakata, n.k.: g 10/09 30; g 12/09 22; w06 11/1 5; w05 4/1 10-11; g02 12/8 28; g00 12/8 6; g98 10/8 29

“urithi kutoka kwa Yehova” (Zb 127:3): w05 4/1 8-19; g97 8/8 10; w96 10/1 31; fy 126

usingizi: g03 5/22 28-29; g00 6/22 28

utekaji nyara wa watoto: g 10/06 30

kuwalinda: g97 10/8 28

masomo shuleni kuhusu utekaji nyara: g98 8/8 29

uvutaji wa sigara: g96 2/22 29

uvutano wa muziki: g01 6/8 28

uwezo wa kujifunza: g04 8/8 3-4

unavyoathiriwa na Intaneti na televisheni: g04 8/8 4-5

uwezo wa ubongo unavyoongezeka: g04 10/22 5-6

vipodozi kwa watoto: g02 2/8 29

vituo vya kuwatunzia watoto mchana: g98 1/22 29

vitu vya kuchezea: g05 8/8 24-27; g04 8/8 31

madhara ya vitu vyenye kelele: g05 7/22 29

shule za watoto wadogo zisizo na vitu vya kuchezea: g04 9/22 12

wakati wa kulala: g 8/07 7

walaghai wanaotumia taarifa za utambulisho za watoto: g 8/08 30

wanyama-vipenzi:

kuwalinda watoto wasiumwe na mbwa: g99 7/8 29; g98 5/8 30; g97 7/8 20-23

“watakatifu” (1Ko 7:14):

hilo halimaanishi wamejiweka wakfu: w06 7/1 26

watoto wakimbizi: g96 8/22 6

watoto wa kupangwa (wenye wazazi walezi):

hisia: g03 4/22 25-27; g03 5/22 18-20

uhusiano pamoja na watoto wa kupanga: g99 2/8 28

watoto walio askari-jeshi: w04 1/1 3, 6; g02 2/22 28; g02 11/8 28; g01 3/22 7; g99 3/22 29; g99 4/8 3-4; g99 11/22 29; g97 5/8 28; g97 10/22 4-6

wapiganaji wa kuvizia (wa msituni): g96 4/8 28

watoto walio watu wazima wanapoondoka nyumbani: w09 1/1 7-8; g98 1/22 3-12; fy 164-166

kuwatayarisha watoto: yp1 305-306; g 10/11 25; g 7/10 13; w09 5/1 10-12; w03 10/15 25

watoto wa mitaani: g05 12/8 3; g04 5/8 28; g04 8/22 28-29; g03 4/22 3; g03 6/22 28

watoto wa Mungu: w08 9/1 7

Waroma 8:21: jr 181; wt 184-185, 189, 191; w00 10/15 19; w98 2/15 17-19

maoni ya kwamba wanadamu wote ni watoto wa Mungu: rs 98; wt 184-185

wanadamu wanavyokuwa watoto wa Mungu: w10 1/15 5-6; jr 181; w08 3/1 8-10

watoto wanaofikiria kujiua: g 5/07 11; g04 5/22 28-29; g02 4/8 28

watoto wanaohangaishwa na miili yao: g 3/10 27

watoto wanaokufa au kujeruhiwa kwa sababu ya mambo yasiyotazamiwa au kukusudiwa: g01 10/8 29

kuwalinda watoto: g99 10/8 20-23

wanapoiga utendaji hatari kwenye televisheni: g99 2/22 29

watoto wanaoogopa:

giza: g02 10/22 29

waonevu (wadhalimu) shuleni: g03 8/22 3-4, 6

watoto wanaotoroka nyumbani: g98 10/8 28

Uingereza: g01 8/22 32

watoto wanaowathamini wazazi: g 10/11 20; w10 4/15 3-4

wana watano waliolelewa na wazazi Mashahidi: g99 3/22 22-23

watoto wanapouliza maswali:

Yehova anapendezwa na maswali ya watoto: w10 10/15 25-26

watoto wanavyoathiriwa na—

hasira ya wazazi: g 3/12 4

jeuri kwenye televisheni: g 10/06 7; w99 1/1 5; g99 7/8 9; g98 11/8 29; g98 11/22 28-29; g97 9/8 28; g96 7/22 10-11

kufuatilia mali: g 6/07 4-5; g05 9/8 29

madarasa yenye kelele: g04 7/22 29

matangazo ya biashara: g 12/08 22

matangazo ya biashara kwenye televisheni: g 2/07 19

matatizo kati ya wazazi: g01 1/8 6

misiba ya asili: g03 9/8 14; g96 6/22 17

picha na habari chafu (ponografia): w10 4/15 22; g 10/09 30

sinema zenye jeuri na mambo ya ngono: g99 1/8 28; g98 7/22 31

taarifa zenye kuogopesha: g 10/12 19-21

televisheni: g 11/09 6; g 10/06 7; g04 7/22 29; g04 11/8 28; g04 12/22 28; g01 8/22 29; g01 11/8 28; g00 4/8 28; g98 7/8 28; g97 9/8 28

televisheni, michezo ya kompyuta, na Intaneti: g05 3/22 31

uchambuzi wa wazazi: g97 8/8 3-4

ukosefu wa upendo: g00 12/8 6; g97 8/8 3-4

vinywaji vyenye kafeini nyingi: g99 2/22 29

vipindi vya mfululizo: g05 3/22 28

vipindi vya televisheni vinavyohusisha ngono: g 8/07 29; g96 7/22 10-11

vita: g05 4/22 28; w04 1/1 3; w01 5/15 3; g00 1/22 31; g99 3/22 28-29; g98 3/22 28; g98 7/22 30; w97 4/1 3-4; g97 3/22 28; g97 10/22 3-11; g96 2/8 29

wazazi wanapotalikiana: yp1 28-29; g 2/10 6-8; g03 4/22 28; g03 5/22 28; g00 2/8 7; g99 4/22 10-11

watoto wasio na makao: g05 12/8 3; w04 11/1 32

watoto wenye umri wa miaka miwili au mitatu: g 10/11 5-6

Yesu ni mfano kwa watoto: w12 2/15 13-14; w09 7/15 11; w07 2/15 24-25; cf 36-38; bh 141-142; lr 212-214; w02 3/15 8-10; w02 11/15 12-13

Afya na Magonjwa

afya mbaya: g 10/11 29

Asia: g 5/06 14

chakula:

vinywaji vyenye kafeini: g99 2/22 29

watoto wadogo: g 2/06 30

chanjo: g99 9/22 19

hasira inavyoathiri moyo: g04 2/8 28-29

homa: g03 12/8 25-27

joto linalopita kiasi katika gari ambalo limeegeshwa ni hatari: g 3/06 29

kansa (saratani): g 5/11 12-14

uchafuzi wa mazingira unasababisha kansa: g97 12/22 28

kemikali katika vitu vya kuchezea vya watoto: g99 9/22 28

kiasi cha maji ambacho watoto wanapaswa kunywa: g00 3/22 29

kiharusi: g05 5/22 28-29

kinachofanya watoto fulani wazaliwe wakiwa wagonjwa: rs 128-129

kukosa maji mwilini kwa sababu ya ugonjwa wa kuharisha au kutapika:

dawa ya chanjo ya kuzuia uambukizaji wa rotavirus: g98 5/8 29

idadi ya watoto wanaokufa: g 1/09 6; w97 4/15 6; g96 3/22 24

magonjwa ya kuharisha yamepungua (Brazili): g 1/09 6

maji yenye chumvi na sukari (Oral Rehydration Therapy): g97 9/22 11

kukosa usingizi: g03 5/22 28-29; g02 7/22 12

kushuka moyo: g03 2/8 28

kusongwa: g99 10/8 22

kutia damu mishipani:

sheria nchini Iceland (1997): yb05 246

kutunza afya ya familia: g 10/11 13; g97 9/22 11

kuwatibu watoto nyumbani: g05 7/22 29

lishe:

kiasi cha kalisi ambacho watoto wanahitaji: g98 11/8 28

madhara ya dawa za shamba: g96 1/8 29

madhara ya kemikali: g98 12/22 7, 9

madhara ya mazingira safi kupita kiasi: g 1/11 14

madhara ya mifuko mizito inayobebwa mgongoni: g00 9/8 29

magonjwa ya akili:

akili punguani: g 10/09 15; g 4/06 25-28

kuyazuia: g02 4/8 29

visababishi: g03 12/22 29

magonjwa ya mfumo wa kupumua: g96 3/22 24

majeraha ya moto: g99 10/8 22

maumivu ya viungo yanayosababishwa na kufanya jambo tena na tena: g04 9/8 28-29

mazoezi: g05 5/22 4-5; g98 10/8 29

mfadhaiko (mkazo): g05 2/8 5-6; g02 1/22 29

dawa kwa watoto wa shule: g02 4/22 29

msiba ulioathiri akili na hisia utotoni unaweza kusababisha maradhi ya moyo baadaye maishani: g05 8/22 28

televisheni inavyoathiri afya: g98 10/8 29

watoto wanaotazama televisheni kwa muda mrefu wanaweza kushikwa na kifafa: g96 10/22 29

ugonjwa unaosababishwa na madini ya risasi: g 12/09 28-29

ugonjwa wa Asperger: g 9/08 22-24

ugonjwa wa cystic fibrosis: w06 7/1 31

ugonjwa wa Down syndrome: w10 4/15 16-19

ugonjwa wa Rett: g 9/10 30; g 10/08 18-21

UKIMWI: g99 9/22 19

ukuzi: g 11/10 25; g96 12/22 29

ulevi: g04 6/8 29; g03 11/8 29

unene unaopita kiasi: g 10/12 10-11; g 3/09 27-28; g03 7/8 28; g02 3/22 29; g00 10/8 28-29; g96 12/22 28

madhara ambayo unasababisha baadaye maishani: g98 7/22 28-29

upasuaji:

wa moyo unaweza kufanywa bila damu: rs 45-46; g00 3/22 23; g00 9/8 31

upofu rangi (kutoweza kuona rangi sawasawa): g 7/07 19

Upungufu wa Makini Kutokana na Utendaji wa Kupita Kiasi (AD[H]D): g 1/09 10-11; g97 2/22 5-10

uso wa mtoto ulioharibiwa na bakteria: g04 5/22 25-27

utapiamlo: g03 2/22 3-4, 6-8; g98 8/8 28

uvutaji wa sigara:

wazazi wanaovuta sigara: g 3/09 29; g00 2/8 29; g00 5/8 28-29; g96 10/22 22-23

vidonda katika utumbo mpana: g04 5/8 22-23

vipande vya karoti vinaweza kusababisha hatari: g03 7/8 30

vipande vya soseji vinaweza kusababisha hatari: g02 11/22 30

vituo vya kuboresha afya ya watoto wadogo: g04 8/8 28

vitu vinavyoweza kuwasumisha watoto nyumbani: g96 9/8 28-29

jambo la kufanya mtoto anapokunywa sumu: g99 10/8 22

viungo bandia: g 2/06 22

watoto wasioweza kutulia:

dalili zinazidishwa kwa vinywaji vyenye kola na chai baridi: g96 5/22 29

Kutaniko la Kikristo

funzo la Biblia:

funzo la Biblia la familia: w02 3/15 9

hawanyimwi furaha kwa kutosherehekea sikukuu au kutoshiriki katika karamu za siku ya kuzaliwa:

maelezo ya watoto wa Mashahidi: ed 18; w97 12/15 7; fy 97

huduma ya shambani: lr 213-214; w02 11/15 13

shule ni eneo la pekee: w03 4/15 18-22

Siku ya Magazeti: km 5/00 1

wahubiri ambao hawajabatizwa: km 5/07 4; od 82; km 3/03 4; km 2/02 5; km 3/01 4; km 4/96 1

wazazi wanapaswa kuwachunga watoto: km 5/99 7; km 11/98 5

kuwasaidia “wavulana wasio na baba”: jd 149-151; km 11/02 8

makusanyikoni:

kazi ya kujitolea: km 6/10 4

wazazi wanapaswa kuwachunga watoto: km 6/08 4; km 6/06 3; km 6/03 4; km 5/01 5; km 5/00 5; km 5/99 5

mikutanoni: km 1/10 2; w06 11/1 30; w04 9/15 27; w02 3/15 10; w00 3/15 17-18; w00 4/15 30

adabu: km 8/01 4; km 5/00 7

faida za mikutano: w10 10/15 26-27

historia: jv 244-246

jinsi wakaribishaji wanavyoweza kuwasaidia wazazi: od 123; km 5/00 7

kuwazoeza watoto kusikiliza: be 16

mkutano wa utumishi: od 66

ubatizo:

inapofaa mtoto abatizwe: w10 11/15 14

uhusiano pamoja na Yehova:

kumsifu Yehova: w05 6/15 23-28

kumtumikia Yehova: w10 4/15 3-7

wajibu wa mtu binafsi: w02 12/15 21

watoto wanapaswa kujisadikisha wenyewe kuhusu kweli: w10 11/15 8-9, 12-13; w00 10/1 9-10

wazazi wanapoacha kumtumikia Yehova: w12 12/1 30-31

usomaji wa Biblia: w10 4/15 4-5; w09 7/1 31; w02 3/15 9-10

vitabu vya watoto: jv 246

broshua The Golden Age ABC (1920): jv 245

Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia (Kiingereza 1978; Kiswahili 1981): jv 110

kitabu cha nyimbo Kingdom Hymns (mwaka wa uchapaji 1925): jv 240

kitabu Children (1941): jv 86, 88

kitabu Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu (2003): w04 1/15 25; yb04 9; lr 6-7

kitabu Kupata Faida Zote za Ujana Wako (Kiingereza, 1976; Kiswahili 1979): jv 110, 175

kitabu Kutoka Paradiso Iliyopotea Mpaka Paradiso Iliyopatikana (Kiingereza 1958; Kiswahili 1963): jv 101-102

kitabu Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi (Kiingereza 1989; Kiswahili 1991): jv 110, 175

kitabu The Way to Paradise (Njia ya Kwenda Paradiso) (1924): jv 245

watoto waliotengwa na ushirika:

uhusiano kati ya wazazi na watoto waliotengwa: w07 1/15 20

wajibu wa wazazi kwa watoto waliotengwa: lv 208; w07 1/15 20; km 8/02 4; w01 10/1 16-17

watoto wanaoacha kweli: w11 1/1 26; w07 1/15 17-20; w06 9/1 17-21; jd 133-134; w01 2/1 28; w01 10/1 13-18

watoto wanapofanya makosa: od 157-158

mapendeleo ya baba kutanikoni yanavyoathiriwa: w96 10/15 21

watoto wanathaminiwa: w02 11/15 12-13; km 3/98 1

watoto wanaweza kuwasaidia wazee: g 8/06 24-25

Mambo Yaliyoonwa

barua ya mvulana mwenye umri wa miaka saba kwa Yehova: yb12 63-64

bidii ya msichana mdogo mwenye miaka mitano: w00 1/15 17-18

bidii ya mtoto mwenye miaka sita: yb11 53-54

binti afurahia tena kuwa katika kweli: w96 5/15 30-31

imani ya watoto wanaougua kansa: w08 3/15 19-20; g 8/06 26-27

insha ya mtoto mwenye miaka kumi: yb07 44-45

jibu la mvulana mwenye miaka 11 lamvutia mwanamke: yb04 44-45

kijana afiwa na baba na babu, kisha yeye mwenyewe akabili kifo: w08 10/1 28-31

mahubiri yasiyo rasmi:

“Moja, Mbili, Tatu!”: km 5/03 1; w98 6/15 21

mama awakataza binti zake wasitazame vipindi vya katuni vyenye jeuri: w99 1/1 5

masimulizi ya maisha:

Katika Masikio ya Kitoto: g97 6/8 11-14

Wakati Ujao Wenye Tumaini Licha ya Udhaifu: g00 2/22 18-21; g00 11/22 30

mateso:

mwalimu amwita mvulana Shahidi Myahudi: g00 6/22 3

michango: w09 11/15 29; w07 11/1 18-19; g 8/06 23-25; w05 11/1 27, 29-30; w05 12/1 10; w02 2/1 32; w00 4/15 32; w00 11/1 29; w98 11/1 28

mtoto mwenye miaka sita achanga pesa alizopata kwa kumuuza nguruwe: w07 11/1 18

mwangalizi anayesafiri ambaye alikuwa mgonjwa apokea mchango: w99 5/15 27

mkimbizi mlemavu mwenye miaka minane: yb05 47

msichana aliyelelewa na watawa: g01 6/22 20-23

msichana atoa ujumbe kwa njia inayoeleweka: w96 10/1 8

msichana mwenye miaka 11 aanzisha funzo na mfanyabiashara mashuhuri: yb10 9-10

mtoto ashinda upinzani wa wazazi: yb11 144-146

mtoto mwenye miaka mitano ahubiri: w04 8/15 32

mtoto mwenye miaka mitano aimba wimbo wa Ufalme kanisani: w97 12/1 9

mtoto mwenye miaka mitano amwalika mwalimu kwenye Ukumbusho: yb08 13

mtoto mwenye miaka miwili na nusu asisitiza kumwachia mtu trakti yake ya mwisho: yb09 58

mtoto mwenye miaka saba abatizwa: yb11 58-59

mtoto mwenye miaka sita amhubiria nyanya yake: w00 12/1 8

mtoto mwenye miaka sita amwalika mlemavu ahudhurie Ukumbusho: w08 6/1 26

mtoto mwenye miaka tisa aliyepingwa na familia awa Shahidi hatimaye: w02 4/1 26-27

mtoto mwenye miaka tisa amwalika mwanamke kwenye Ukumbusho: w06 9/1 32

mtoto mwenye miaka tisa ataja tumaini lake katika ufufuo kabla ya kufa katika msiba wa barabarani: w05 5/1 18

mtoto mwenye mwaka mmoja na nusu ajifunza hadithi za kitabu Hadithi za Biblia: g96 1/8 32

mvulana aliyeachwa abadili mwenendo: w99 1/1 4

mvulana mwenye miaka 12 ataja mabadiliko aliyofanya: g04 8/22 32

mvulana mwenye miaka kumi aongoza funzo la Biblia: w96 10/15 32

mvulana mwenye umri wa miaka sita akataa keki: yb12 65-66

mwenendo:

mtu aliyeokoka Maangamizi Makubwa (enzi ya Wanazi) avutiwa: w05 1/15 32

sala iliyotolewa kwa sauti na msichana yawachochea askari kutoiangamiza familia: yb12 198-199

shuleni: w06 8/15 9-10; g05 9/8 18-19; w04 6/1 17; w04 10/1 30-31; w03 4/15 19-21; w03 8/15 27; w01 11/1 25-26; km 12/00 8

insha “Ebu Fumbua tu Macho Yako Uone”: g97 6/22 31

insha “Ikiwa Ningeweza Kubadili Hali Fulani ya Wakati”: g96 2/22 15; g96 10/8 30

insha “Kitabu Ninachopenda Sana”: yb07 44-45

insha “Tamaa Yangu Kubwa Zaidi”: g99 9/22 32

kitabu Biblia Inafundisha: w08 2/15 19

kitabu Hadithi za Biblia: g 7/11 32; g05 9/8 18-19; w03 4/15 20; w02 4/1 26

mkuu wa shule aomba kumwona mwangalizi wa mzunguko: yb06 49

msichana akataa kutemea bendera mate: ed 20

msichana awakabili wadhalimu kwa ujasiri: w98 1/1 23

msichana mwenye miaka minane azungumza kwa ujasiri: w99 12/15 25

msichana mwenye miaka mitano amweleza mwalimu kuhusu imani yake: w96 5/15 9

msichana mwenye miaka mitano amwomba Yehova ampe ujasiri wa kutoa ushahidi: w10 2/15 7

mtoto mwenye miaka 12 aongoza mafunzo 20: w00 1/15 18

mtoto mwenye miaka 12 atetea uumbaji: g 9/09 32

mtoto mwenye miaka mitano atoa hotuba shuleni kuhusu Sikukuu ya Akina Baba: g 8/07 28

mtoto mwenye miaka sita aeleza mahali alipo baba yake aliyekufa: g 8/09 32

mtoto wa miaka sita atafuta nakala ya Mnara wa Mlinzi ili kumpa mwalimu mwenye huzuni: w05 3/15 8-9

mvulana achukua msimamo mbele ya mwalimu mkuu na wanafunzi: yb09 135

mvulana akataa kujiunga na shirika la siasa la vijana: yb08 120

mvulana mwenye miaka sita azungumza na mwalimu wake akitumia andiko alilolikariri: yb10 47-48

mwanafunzi Mkatoliki wa darasa la sita: g97 10/22 32

mwanafunzi mwenye miaka sita aeleza kuhusu kusanyiko: yb05 64

mwanafunzi mwenye miaka tisa amfariji mwalimu mwenye huzuni: yb09 46

mwenendo wa mtoto mwenye miaka 11 wamvutia mwalimu: w05 6/15 27

utimilifu wakati wa utawala wa Wanazi: g 8/11 19-20; w09 6/15 4

waimba nyimbo za Ufalme: yb09 135; yb06 244; w96 8/15 26

wanafunzi wawaalika walimu wasikilize hotuba za Shule ya Huduma: g05 9/8 18; w02 9/15 19

simulizi la mtu binafsi “Mailyn Atapata Uso Mpya”: g05 3/8 30; g04 5/22 25-27

suala la damu:

upasuaji wa moyo: g00 6/22 30

ustadi wa mtoto mwenye miaka sita: w98 4/1 21

vitabu:

kitabu Hadithi za Biblia: g 7/11 32

kitabu Mwalimu Mkuu: g 3/09 22-23

kitabu Vijana Huuliza: g 9/10 32

watoto wenye miaka minne wakariri masimulizi ya kitabu Hadithi za Biblia: g04 2/8 32

walialikwa kuketi ndani ili kusikiliza mama yao akijifunza: yb12 80-82

Wanazi wawatenganisha watoto na familia: g 8/11 18-20; w07 9/1 9; w04 10/15 28

watoto wanajeshi: g01 8/8 9-10; w00 1/1 5

watoto wanaoongoza mafunzo ya Biblia: g05 9/8 19

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki