ELIMU YA VITU VYA KALE (Akiolojia)
(Ona pia Biblia [Hati za Kale]; Biblia, Usahihi wa; Maandishi ya Kikabari; Mabamba ya Udongo; Uandishi; Vigae [Vipande vya Vyombo vya Udongo])
(Kuna vichwa vidogo: Kukadiria Muda Ambao Vitu Vimekuwapo; Manukuu; Orodha Kulingana na Maeneo; Orodha ya Watu; Vitu Mbalimbali vya Kale)
Baali:
jiwe la Baali: w09 11/1 15; w03 7/15 27
maandishi ya Ras Shamra (Ugariti): w03 7/15 25-27
Biblia: g 11/07 15-18
maelezo ya Nelson Glueck: g 1/11 11
maelezo ya Profesa William F. Albright: la 13
si lazima mambo yote yathibitishwe na wataalamu wa vitu vya kale: g02 10/8 18-19
wataalamu wa vitu vya kale wameithibitisha kuwa sahihi: w05 3/15 29; ba 14-15
dhabihu ya mtoto:
Wafoinike: g01 11/8 15-16
Wakanaani: w97 4/1 17-18
dhahabu: w96 10/15 8-9
jiwe lililotengenezwa na wanadamu: g98 12/8 28
Kimbunga Mitch (1998) chafukua vitu vya kale: g99 6/22 29
Maharamia wa Skandinavia: g05 12/8 22
makaburi: g05 12/8 20-24
dolmen (Ulaya): g98 5/8 25-27
mipaka:
maandishi ya kuchongwa si kamili: w11 11/1 23-24
maoni ya wataalamu wa vitu vya kale: w00 3/1 28
picha za setilaiti zasaidia kupata maeneo yenye kuvutia: g 6/12 28
vigae (vipande vya vyombo vya udongo): w07 11/15 12-14
vitu vya kale vyapatikana kwa sababu barafu kubwa zinapungua: g04 7/8 28
vitu vya kale vyenye thamani kubwa vinaibwa:
Mesopotamia: g98 4/22 29
Kukadiria Muda Ambao Vitu Vimekuwapo
elimu ya vitu vya kale:
hati zilizotengenezwa kwa fedha kabla ya uhamisho wa Wayahudi: w06 1/15 32
kuchunguza mwandiko ili kujua wakati hati za kale zilipoandikwa: w09 10/1 20; g 2/08 19-22; ba 8
kipimo cha asidi amino: rs 396
kipimo cha harakati-redio hakitegemeki: rs 396
kipimo cha thermoluminescence: rs 396
maelezo ya Leakey (Richard) kuhusu marekebisho ya kipindi alichokuwa ametaja: rs 395
Manukuu
nimegundua kwamba Biblia haijawahi kukosea: g 1/11 11
Orodha Kulingana na Maeneo
Amazoni:
vijiji na miji: g 9/09 30
Antiokia (Pisidia):
picha ya magofu: w07 8/15 9
Aradi: w08 7/1 23-25; w08 8/15 29; w07 11/15 13
Ashuru:
jumba la mfalme (maelezo ya mtaalamu wa vitu vya kale): w01 2/15 20
maandishi ya Sargoni wa Pili (Khorsabad): g 11/07 16
maandishi ya Senakeribu (Ninawi): g 12/10 27; g 11/07 17
magofu ya Ninawi: w07 11/15 8; jd 49; ba 14
makao ya Senakeribu (Ninawi): ba 14
maktaba ya Ashurbanipali (Ninawi): g05 5/22 18-19
msalaba: w08 3/1 22
picha zilizochongwa ambazo zinaonyesha kutekwa kwa Lakishi (Ninawi): g 11/07 17; ba 14-15
ukatili wa Waashuru wakati wa vita: g 12/10 26-27; jd 118; ip-1 144, 208-210
Babiloni:
bamba la Nebo-sarsekimu (eneo la Baghdad): g 5/09 11
bamba linaloonyesha Marduki na Nebo: dp 70
hifadhi za hati za biashara za Wayahudi (Nippur): w08 12/15 22
Lango la Ishtari (Babiloni): w11 11/1 12; g 11/07 16
Maandishi kwenye (Mwanzi) wa Koreshi: g 6/12 13-14; g 2/11 16-17; w08 12/15 22; g 11/07 18
maandishi kwenye bamba la udongo yanayotaja mwaka wa saba wa utawala wa Cambyses wa Pili: w11 10/1 28
maandishi yanayoonyesha mfuatano wa matukio katika Milki ya Babiloni: w11 11/1 23
maandishi ya wataalamu wa nyota (B.M. 32238): w11 11/1 24
mabamba ya udongo kuhusu utawala wa Ashur-etel-ilani: w11 10/1 31
mabamba ya udongo yaliyoandikwa wakati wa utawala wa Sin-sharra-ishkun: w11 10/1 31
magofu: re 266
Nebukadneza wa Pili (wa Biblia): g 6/12 13; dp 70
Njia ya Maandamano (Babiloni): w11 11/1 12; ip-2 124
sanamu ya joka aliye mfano wa Marduki: ip-2 124
sanamu za maini zilizotengenezwa kwa udongo: g 1/11 11
silinda ya udongo yenye jina la Belshaza: g 1/11 11
Yehoyakini gerezani (Babiloni): w12 6/1 5; g 11/07 16
Bahari ya Galilaya:
mashua ya kale: g 8/06 13-15; w05 8/15 8; g96 12/22 29
China:
matangazo ya biashara ya kale sana: g02 6/22 28-29
ramani ya zamani inayoonyesha umbali: g99 3/8 29
sanamu za askari-jeshi zilizotengenezwa kwa udongo (Xi’an): g05 12/8 21; g01 5/8 29
tambi: g 10/06 30
uhusiano kati ya China na Mesopotamia: g97 11/8 28-29
Dani (mji):
jiwe lenye maneno “Nyumba ya Daudi”: g 5/12 17; g 11/07 5; la 12-13; ba 14; w96 10/15 30-31
Edomu: g 11/07 5
Efeso: re 23; w04 12/15 26, 28-29
hekalu la Artemi: w04 12/15 27-28
sanamu za Artemi: g 3/11 19; w09 2/1 19
uwanja wa maonyesho: w07 8/15 10
Ekuado:
elimu ya kale ya nyota: g05 12/22 22-25
Filadelfia (Asia Ndogo): re 23
Gathi:
hekalu la Wafilisti: g 5/11 29
Gezeri:
kalenda: w07 6/15 8, 11; w07 8/15 19
mahali ambapo lango la jiji lilikuwa: w07 6/15 8
Gibeoni: g 5/12 18
Hasori:
liliteketezwa: g 5/12 18
mahekalu: g 5/12 18
Hispania:
Acinipo (Ronda la Vieja): g04 3/8 14-16
Ikoniamu: bt 96
India:
utamaduni wa Indus: g02 7/8 13-14; g00 7/8 14-15
utamaduni wa Waarya: g00 7/8 14-15
vitu vya kale vya Waroma: w09 1/1 22
Ireland:
Brú na Bóinne (Newgrange): g01 5/22 22-24
Israeli: g05 5/22 28
alfabeti: g 11/07 16-17
andiko la Injili kwenye kaburi: g04 9/8 29
cheti cha talaka: w08 9/1 25
gudulia lililo na mafuta (kwenye eneo la Bahari ya Chumvi): w12 12/1 26
hali ya ukiwa ya Yuda: g 6/12 14; w06 11/15 32
jina la Mungu: w08 7/1 24-25; w07 11/15 13
jiwe lenye maneno “Nyumba ya Daudi” (Tel Dan): g 5/12 17; g 11/07 5; la 12-13; ba 14; w96 10/15 30-31
kalenda: w07 6/15 8, 11
kigae cha udongo kinachotaja dhahabu ya Ofiri (eneo la Tel Aviv): w10 6/1 15
maandishi yaliyoandikwa miaka 1,000 kabla ya Vitabu vya Kukunjwa vya Bahari ya Chumvi: g 7/09 30
maandishi yanayotaja hekalu la Sulemani: g98 5/8 29
majengo ya serikali ya Milki ya Roma (Kaisaria): g98 3/8 29
masanduku ya vipodozi: w12 12/1 25
mashua (Bahari ya Galilaya): g 8/06 13-15; w05 8/15 8; g96 12/22 29
mizinga ya nyuki: w11 3/1 15; w11 4/15 28; w09 7/1 22; g 5/08 30
nanga katika Bahari ya Chumvi: g 1/08 27
sanduku la mifupa ya Yakobo: w03 6/15 3-4
Tel Aradi: w08 7/1 23-25; w08 8/15 29; w07 11/15 13
utawala wa Sulemani: g03 6/8 9; w98 10/15 9-10
Vitabu vya Kukunjwa vya Bahari ya Chumvi: g 2/08 20; w01 2/15 3-7; ba 8
Italia:
mifupa ya mtu wa Asia Mashariki (Vagnari): w11 1/1 29
picha kwenye miamba zilizochongwa na watu wa Camonica: g02 4/22 26-27
Sirakusa (Sisili): w07 10/15 30
Kaisaria:
maandishi yanayomtaja Pontio Pilato: g 4/11 11; w09 5/1 5; g 11/07 5; w05 9/15 11
majengo ya serikali ya Milki ya Roma: g98 3/8 29
Kanaani: (Nchi):
walishindwa na Waisraeli: g 5/12 17-18
Karthage: g01 11/8 14-17
desturi ya kuwatoa watoto kama dhabihu: g01 11/8 15-16
Lakishi: g 6/12 13
Barua za Lakishi: g 6/12 12; w07 11/15 14
picha zilizochongwa na Waashuru ambazo zinaonyesha kutekwa kwa Lakishi: g 11/07 17; ba 14-15
Laodikia:
magofu: re 23
Listra:
vitu vya kale vilivyoandikwa jina la Herme na Zeu: bt 97
Marekani:
Cahokia (Illinois): g03 3/8 14-18
Megido:
mfano mdogo wa jiji la Megido: gl 22
Mexico:
Oaxaca: g02 6/22 24-25
Teotihuacán: g05 12/8 21-23; g00 10/8 16
Milki ya Roma:
mifupa ya mtu wa Asia Mashariki: w11 1/1 29
sanamu za kuchongwa zilipakwa rangi: g05 3/22 28-29
Misri: g00 5/8 29
Abrahamu: g 11/10 17
Aleksandria: g05 6/8 28; g01 12/8 29; g97 5/22 28
barua kutoka kwa mtoto mtundu: w97 6/15 22
crux ansata (msalaba): w11 3/1 19; rs 213
gavana Mroma aamuru watu wahesabiwe (104 W.K.): w09 12/1 16
hekalu huko Karnaki: g 11/10 16-17; w08 7/1 24
imani ya kwamba wanadamu wanaendelea kuishi baada ya kufa: g05 12/8 22-24; ie 6
Jiwe la Merneptah (Karnaki) huko [Thebes]: g 5/12 18; g 11/10 18; w06 7/15 24
kaburi la Nefertari: g96 7/22 29
kaburi la Tutankhameni: g05 9/22 27; w01 4/15 3
kutengeneza divai (Karnaki) huko [Thebes]: w12 8/1 26
mabamba ya Amarna: w08 12/15 21-22
Mafunjo ya Ebers: w98 4/1 16; ba 20
maghala ya nafaka: g 3/09 29
matofali: w12 1/1 22
Mzingile: g99 12/22 20-21
piramidi: g97 7/8 29
Shishaki avamia Yuda (Karnaki): g 11/10 16-17; w08 7/1 24
Moabu:
Jiwe la Moabu: ba 14; w96 10/15 31
Norway:
mbao za kale za kutelezea juu ya theluji (skii): g01 10/8 25-26
michoro ya miti ya kijani-kibichi iliyochongwa kwenye miamba: g 12/11 12-13
Nuzi: g 11/07 18
mabamba yenye maandishi kuhusu haki za urithi: g 11/07 18
Pergamamu: re 23
madhabahu ya “mungu asiyejulikana”: w12 3/1 18
madhabahu ya Zeu: w07 8/15 10; re 41, 43; gl 33
Peru:
magofu ya Chankillo yanadhaniwa kuwa kituo cha kuchunguzia jua: g 2/08 29
makaburi ya wenyeji: g04 4/22 13-14
tarumbeta za makombe: g04 4/22 29
Qumran:
Vitabu vya Kukunjwa vya Bahari ya Chumvi: g 2/08 20; w01 2/15 3-7
Roma:
Tao la Tito: g 4/11 13
Saiprasi (Kipro): w04 7/1 20-22
bidhaa za biashara ya kimataifa: w07 10/15 17
kipande cha bamba la marumaru chenye jina la Paulo: g00 11/8 28
meli: w07 10/15 18-19
Samaria:
vigae (vipande vya vyombo vya udongo): w07 11/15 12-13
Sardi: w08 4/1 21; re 23
Siria:
Ebla: w06 12/15 12-14; g03 2/8 26-27
Mari: w05 5/15 10-13; g03 2/8 26-27
Ras Shamra (Ugariti): w03 7/15 24-28; g03 2/8 27
Smirna: re 23
Sodoma na Gomora: w96 9/15 12; g96 8/8 28
Sudan:
mahekalu ya kale ya Misri yenye jina la Yehova: w10 5/1 21-22
Sweden:
michoro ya miti ya kijani-kibichi iliyochongwa kwenye miamba: g 12/11 12-13
Thesalonike:
“watawala wa jiji” (Ac 17:6, 8): w12 6/1 20
Thiatira: re 23
Tiro:
sarafu yenye picha ya mungu Melkart: ip-1 256
Troa:
picha ya magofu: w07 8/15 9
Uajemi:
chombo kilichomtaja Evil-merodaki (Amili-Meroduki) (Susa [Shushani]): w12 6/1 5
kaburi la Koreshi: g 2/11 17; gl 25
Maandishi kwenye Mwanzi wa Koreshi (Sippar): g 6/12 13-14; w08 12/15 22; g 11/07 18; w06 1/15 17
magofu ya Persepoli: gl 25
Ugiriki:
Kifaa cha Antikythera (cha kukadiria miendo ya jua, mwezi, na sayari): g 3/09 24-26; g 9/07 21
kiti cha hukumu (Korintho): w12 5/1 23; bt 152-153
sanamu za kuchongwa zilipakwa rangi: g05 3/22 28-29
sarafu yenye picha ya Antioko wa Nne (Epifane): w96 1/15 28
ugonjwa uliosababisha vifo vya watu wengi watambuliwa (Athene): g 12/06 29
uwanja wa michezo wa Epidaurus (karibu na Korintho): g00 6/8 11-13
Uingereza:
bustani ya kale ya wanyama imegunduliwa chini ya Mnara wa London: g00 12/8 29
Uru:
makaburi: g05 12/8 20
nyumba: w11 1/1 19
Vinland: g01 9/22 19-21; g99 7/8 12-13
Yeriko:
majiji mawili katika siku za Yesu: w08 5/1 31
Yerusalemu: g 11/07 30; w00 2/1 10; w97 6/15 9-13
alama ya muhuri wenye jina Gedalia, mwana wa Pashuri: jr 55; g 6/09 29
alama ya muhuri wenye jina Gedalyahu Ben Immer: g 11/07 30
alama ya muhuri wenye jina Gemaria: w11 5/1 15
alama ya muhuri wenye jina Yukali: jr 55; g 11/07 16; w06 9/15 14-15
dimbwi la Siloamu: w07 7/15 6-7
eneo la hekalu: w97 6/15 12
hati zilizotengenezwa kwa fedha zenye jina la Mungu: w06 1/15 32; w97 6/15 11
huenda kaburi la Kayafa limepatikana Yerusalemu: w06 1/15 10; w97 6/15 13
Jiji la Daudi (Sayuni): w97 6/15 9
maandishi “Mahali pa Kupiga Tarumbeta”: g 3/11 16
mabamba ya Amarna yanathibitisha kwamba wafalme Wakanaani walilitawala Yerusalemu: w08 12/15 21-22
madimbwi ya kuogea kidesturi: w06 10/15 12-13
makaburi: w97 6/15 11
mfereji wa chini kwa chini (Warren’s Shaft): w97 6/15 9-10
Mfereji wa Siloamu (mfereji wa Hezekia): w09 5/1 27; w97 6/15 9-10; w96 8/15 5-6; g96 6/8 29
Nyumba Iliyoteketea: g 11/07 15-16; w97 6/15 13
sarafu ambazo ni makumbusho ya maasi ya Wayahudi (66 W.K.): w11 11/1 12
sarafu yenye picha ya mungu Melkart wa Tiro: w11 11/1 12
uharibifu (607 K.W.K.): w11 11/1 22-28; w97 6/15 11-12
ukubwa wa Yerusalemu la kale: w97 6/15 11
Ukuta Mpana: w97 6/15 11
Yezreeli (jiji): w00 3/1 26-28
Orodha ya Watu
Ahazi: w11 5/1 15
Aleksanda Mkuu: w07 4/15 13; la 13; dp 158
Antioko wa Nne (Epifane): w96 1/15 28
Ashurbanipali:
maktaba (Ninawi): g05 5/22 18-19
Baruku (mwandishi wa nabii Yeremia): w11 5/1 15; w06 8/15 16
Belshaza: g 1/11 11; dp 15-16; w98 9/15 8-9
Cambyses wa Pili: w11 10/1 28
Dario wa I (Dario Haistaspo, Dario Mkuu):
jiwe: w12 1/1 22
Daudi: g 5/12 17; g 11/07 5; la 12-13; ba 14; w96 10/15 30-31
Evil-merodaki (Awil-Merduk, Amili-Marduk): w12 6/1 5
Gedalia (Yer 38:1): jr 55; g 6/09 29
Hezekia: w11 5/1 15
Kayafa: w06 1/15 10; w97 6/15 13
Kora:
wana wa Kora: w07 11/15 13
Koreshi Mkuu (Koreshi wa Pili):
kaburi la Koreshi: g 2/11 17; gl 25
Maandishi kwenye Mwanzi wa Koreshi: g 6/12 13-14; g 2/11 16-17; w08 12/15 22; g 11/07 18; w06 1/15 17
Mernepta: g 5/12 18; g 11/10 18; w06 7/15 24
Nabonido:
Simulizi la Aya ya Nabonido: w98 9/15 9
Nebo-sarsekimu (Yer 39:3): g 5/09 11
Nebukadneza wa Pili:
maandishi kuhusu kichaa (wazimu) na mti alioona katika ndoto: dp 94
maandishi kuhusu ujenzi: dp 20, 89
picha: g 6/12 13; dp 70
Paulo: g00 11/8 28
Pontio Pilato: g 4/11 11; w09 5/1 5; g 11/07 5; w05 9/15 11
Ramses wa Pili:
kaburi alilomjengea Nefertari: g96 7/22 29
Sargoni wa Pili: w09 5/1 4; g 11/07 16
maandishi ya Sargoni: g 11/07 16
Senakeribu:
avamia Yuda: g 12/10 27; g 11/07 17
jumba la mfalme: ba 14
maandishi ya Senakeribu: g 12/10 27; g 11/07 17
picha zilizochongwa ambazo zinaonyesha kutekwa kwa Lakishi: g 11/07 17; ba 14-15
Seraya (mwana wa Neria): w11 5/1 15
Shasta wa kwanza:
jiwe: w12 1/1 22
Shishaki (Sheshonki wa Kwanza):
avamia Yuda: g 11/10 16-17; w08 7/1 24
Tito (jenerali na maliki wa Roma): g 4/11 12-13
Tao la Tito: g 4/11 13
Yehoyakini: w12 6/1 5; g 11/07 16
Yehu: w11 11/15 4
Jiwe Jeusi la Shalmanesa wa Tatu: w11 11/15 4
Yerahmeeli: w11 5/1 15
Yukali (Yer 38:1-4): w11 5/1 15; jr 55; g 11/07 16; w06 9/15 14-15
Vitu Mbalimbali vya Kale
bamba la udongo la VAT 4956: w11 11/1 25-28
Barua za Lakishi: g 6/12 12; w07 11/15 14
cheti cha talaka: w08 9/1 25
Funjo la Ebers: w98 4/1 16; ba 20
hati ya “Wimbo wa Baharini” (Kut 13:19–16:1): w08 11/15 32
hati zilizotengezwa kwa fedha zenye jina la Mungu (maandishi ya Ketef Hinnom): w06 1/15 32; w97 6/15 11
hekalu la Herode:
maandishi “Mahali pa Kupiga Tarumbeta”: g 3/11 16
Jiwe Jeusi la Shalmanesa wa Tatu:
Yehu: w11 11/15 4
jiwe la Merneptah (Karnaki huko [Thebesi]): g 5/12 18; g 11/10 18; w06 7/15 24
Jiwe la Moabu: ba 14; w96 10/15 31
kaburi la Nefertari (Misri): g96 7/22 29
kalenda ya Gezeri: w07 6/15 8, 11; w07 8/15 19
Kifaa cha Antikythera (cha kukadiria miendo ya jua, mwezi, na sayari): g 3/09 24-26; g 9/07 21
kipande cha chombo cha udongo (kigae) chenye maandishi “Nyumba ya Mungu”: w08 7/1 24-25; w07 11/15 13
Maandishi kwenye Mwanzi wa Koreshi: g 2/11 16; g 11/07 18
picha: g 6/12 13; g 2/11 16-17; g 11/07 18; w06 1/15 17
sera kuwahusu mateka: g 6/12 14; w08 12/15 22
maandishi yanayoonyesha mfuatano wa matukio katika Milki ya Babiloni: w11 11/1 23
maandishi ya wataalamu wa nyota (B.M. 32238): w11 11/1 24
mwaka wa saba wa utawala wa Cambyses wa Pili (B.M. 33066): w11 10/1 28
maandishi yanayotaja hekalu la Sulemani: g98 5/8 29
maandishi ya Senakeribu: g 12/10 27; g 11/07 17
mabamba ya Amarna: w08 12/15 21-22
masanduku ya vipodozi: w12 12/1 25
meli:
meli za Wafoinike: g00 4/8 29
San Juan (meli ya kuvua nyangumi iliyopatikana Ghuba ya Biscay): g05 10/8 14-15
meli za Napoléon: g99 3/8 28
mihuri:
alama ya muhuri wenye jina Ahazi, mfalme wa Yuda: w11 5/1 15
alama ya muhuri wenye jina Gedalia: jr 55; g 6/09 29
alama ya muhuri wenye jina Gedalyahu Ben Immer: g 11/07 30
alama ya muhuri wenye jina Gemaria, mwana wa Shafani: w11 5/1 15
alama ya muhuri wenye jina Hezekia, mfalme wa Yuda: w11 5/1 15
alama ya muhuri wenye jina la Shafani na majina ya watu wa familia yake: w02 12/15 19, 21-22
alama ya muhuri wenye jina Seraya: w11 5/1 15
alama ya muhuri wenye jina Yerahmeeli, mwana wa mfalme: w11 5/1 15
alama ya muhuri wenye jina Yukali: w11 5/1 15; jr 55; g 11/07 16; w06 9/15 14-15
alama za mihuri yenye jina Baruku: w11 5/1 15; w06 8/15 16
“Nyumba ya Daudi” jiwe: g 5/12 17; g 11/07 5; la 12-13; ba 14; w96 10/15 30-31
sanamu za Ashtorethi: w08 6/1 10
sanduku la mifupa ya Yakobo: w03 6/15 3-4
sarafu:
picha ya Aleksanda Mkuu: w07 4/15 13; la 13
picha ya Antioko wa Nne (Epifane): w96 1/15 28
picha ya Kaisari Tiberio: w11 7/1 29
picha ya meli ya Wafoinike: w08 11/1 27
picha ya mungu Melkart: w11 11/1 12; ip-1 256
picha ya Tito (maliki): g 4/11 12-13
sarafu ambazo ni makumbusho ya maasi ya Wayahudi dhidi ya Waroma (66 W.K.): w11 11/1 12
Sheria za Hamurabi:
sheria kuhusu wizi: re 13
Simulizi la Aya ya Nabonido: w98 9/15 9
tambi (China): g 10/06 30
Tao la Tito:
picha: g 4/11 13
Vitabu vya Kukunjwa vya Bahari ya Chumvi: g 2/08 20; w01 2/15 3-7; ba 8
vitabu vya kukunjwa vya fedha ambavyo vimeandikwa Baraka za Makuhani (Hes 6:24-26): g 11/07 30