Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Dawa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Dawa
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Dawa Mbalimbali
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

DAWA

(Ona pia Dawa za Chanjo; Dawa za Kulevya; Matibabu [Tiba]; Tiba, Sayansi ya; Viuavijasumu [Dawa za Kuua Viini])

(Kuna kichwa kidogo: Dawa Mbalimbali)

aspirini:

aspirini kwa ajili ya mimea: g99 6/8 28

kutumia aspirini kila siku: g00 6/22 20-21

chati ya miongozo ya kutumia dawa vizuri: g 5/09 6

chungu ni dawa: g98 3/8 29

dawa bandia: g98 9/22 28; g97 6/8 28-29; g96 9/22 12-13

dawa kutoka katika bahari:

viumbe wengi kupita kiasi wanavuliwa: g96 8/22 29

dawa kutoka katika misitu ya mvua: g98 5/8 11

dawa ya ugonjwa wa Alzheimer: g98 9/22 11

dawa za kienyeji za Afrika:

maoni ya Kikristo: w06 3/1 25

dawa za kutuliza maumivu:

dawa aina ya triptan ya kutibu kipandauso: g 1/11 22-23

tahadhari kuhusu dawa zenye acetaminophen: g98 8/8 29

zinaweza kusababisha maumivu ya kichwa: g03 4/22 29; g00 1/22 29

dawa za kuua viini: g03 10/22 6, 9

dawa za UKIMWI: g04 11/22 5-7, 9; g02 11/8 8, 10-11; g98 11/8 6-7

dawa zinazochangwa nyakati za misiba: g00 3/22 28

dawa zinazofaa kuwa nazo nyumbani: g98 7/8 7

dawa zinazonunuliwa bila maagizo ya daktari: g98 2/22 28; g98 7/8 8

dawa zinazotokana na mimea: g03 12/22 15

divai: w12 8/1 26

idadi ya aina mbalimbali za dawa: g96 9/22 12

kujitibu: g03 12/22 14; g98 7/8 3-8

kutia dawa katika maji ya kunywa: g99 9/22 29

kuzitumia kwa hekima: g01 11/8 25; g96 9/22 11-13

chati “Utumizi Wenye Busara wa Dawa”: g96 9/22 13

lishe ya ziada: g00 10/22 8-9

maagizo ya dawa zisizofaa: g00 2/22 29; g00 7/22 29

madaktari wanaotumia dawa za tiba kwa kusudi la kulewa: g98 9/8 28

madhara ya kunywa maji ya balungi pamoja na dawa: g01 11/22 29

matumizi mabaya: g01 7/8 4

dawa za kitiba: g 5/09 3-10

dawa zinazouzwa bila maagizo ya daktari: g01 7/8 4; g98 2/22 28; g98 7/8 8; g97 3/8 28

mbinu za kubadili maumbile ya chembe za urithi: g96 2/22 11

melatonini: g00 12/8 30

mitishamba: g04 10/22 30; g03 8/22 28; g03 12/22 12-14; g00 10/22 7-8; g98 7/8 4

dawa za kienyeji: w06 3/1 25

mitishamba ya Wachina: g00 11/8 22-25

protozoa sugu:

malaria: g01 10/22 28-29

roboti inayowapa wagonjwa dawa: g 9/08 16

umuhimu wa kumaliza dawa zilizopendekezwa na daktari: g03 10/22 9; g96 2/22 8

viini (bakteria) sugu: g 7/12 6; g 10/12 27; g04 5/22 10; g03 10/22 3-11; g98 12/22 28; g97 11/22 6; g96 2/22 7-8

kifua kikuu (TB): w08 10/1 7; g01 11/22 28; g99 5/22 22; g97 12/22 6-8; g96 6/22 29, 31

vinavyotokana na kutumia viuavijasumu kupita kiasi: g01 3/22 29

watoto wa shule wanatumia dawa: g02 4/22 29

wazee: g02 11/8 28

zoea sugu (uraibu) la kutumia dawa (Ujerumani): g 10/07 30

Dawa Mbalimbali

acetaminophen: g98 8/8 29

afyuni: g01 11/8 30

aspirini: g00 6/22 20-21; g99 6/8 28

dawa kwa walio na virusi vya UKIMWI: g98 11/8 6

eflornithine (dawa ya malale): g96 5/22 13

erythropoietin: g96 11/8 30

insulini: g03 5/8 7, 10-11

kwinini: g98 2/8 27

melatonini: g00 12/8 30

nevirapine: g02 11/8 5

penisilini: w10 4/1 3; g 1/06 14

Ritalin: g97 2/22 8

sulfanilamide (sulfanilamidi): g96 2/22 4

triptan: g 1/11 22-23

vancomycin: g96 2/22 7

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki