Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Biblia, Usahihi wa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Biblia, Usahihi wa
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Historia
  • Maandiko Yanayoonekana Kama Yanapingana Yafafanuliwa
  • Manukuu
  • Sayansi na Maumbile
  • Unabii
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

BIBLIA, USAHIHI WA

(Ona pia Biblia, Uchambuzi wa; Gharika [Furiko la Siku za Noa]; Unabii; Uumbaji; kitabu hususa cha Biblia)

(Kuna vichwa vidogo: Historia; Maandiko Yanayoonekana Kama Yanapingana Yafafanuliwa; Manukuu; Sayansi na Maumbile; Unabii)

Biblia haijabadilishwa: w09 11/1 13-14; rs 37-38; w98 4/1 11-12; w97 10/15 11; ba 7-9

hati ya “Wimbo wa Baharini” (Kut 13:19–16:1): w08 11/15 32

hati za kale: w09 11/1 13-14; w07 3/15 19-20; g 11/07 12-13; gu 30-31; w97 10/1 12

maelezo kwa Waislamu: gu 29-31

maelezo ya Bwana Frederic Kenyon: g 11/07 13

maelezo ya Dakt. Barbara Aland: g98 4/22 28

maelezo ya F. F. Bruce: w97 10/15 11

maelezo ya Profesa Julio Trebolle Barrera: w01 2/15 6

maelezo ya W. H. Green: g 11/07 13

usahihi wa Biblia kwa kulinganishwa na maandishi mengine ya kale: w09 11/1 14; g96 2/8 10

Vitabu vya Kukunjwa vya Bahari ya Chumvi: w01 2/15 6; ct 109-110; ba 8

watafsiri wamejaribu kubadili maana: w97 10/1 12-14

Biblia ilivyohifadhiwa: w12 6/15 28; g 11/07 12-13; w98 4/1 11-12; ba 7-9

Maandiko ya Kiebrania:

hayategemei maandishi ya Ras Shamra (Ugariti): w03 7/15 28

ni ya kale sana: w11 6/1 20-23

Maandiko ya Kikristo: w10 4/1 26-29

Hati ya Muratori: w06 2/15 13-15; g01 7/22 25

waandikaji wanaaminika: w08 9/1 12-15

maandiko yote yanapatana: w12 6/1 7; g 11/07 7; bh 20; rs 37

maelezo: w10 3/1 3-7; g 11/07 3-4; w05 7/15 4-7; bh 20-24; kp 7; ol 5-7; w98 4/1 10-20; g96 2/8 8-10

mambo ambayo hayawezi kuthibitishwa: w98 4/1 19

mambo yanayothibitisha kwamba Biblia imeongozwa na roho takatifu: w12 6/15 27-29; rs 34-37; gu 16

habari ambazo hazipatikani kwa njia za mwanadamu: w97 6/15 5

hekima: w12 6/15 28; w99 4/1 3-7

manufaa: g96 2/8 10

maoni ya kwamba Biblia inajipinga: rs 39

Mikali afa bila kupata mtoto: w05 5/15 19

mke wa Kaini: w10 9/1 25; rs 95-96

maoni ya wataalamu hayathibitishi kwamba Biblia si sahihi: w00 12/1 29-31

mashauri yanayofaa: w12 6/1 8; w09 5/1 5; g 1/06 18-19; w05 7/15 5; bh 21-23; rs 40; w00 12/1 5-7; w98 4/1 17-19; ba 22-26; g96 2/8 10

miujiza: w12 8/1 7-8; w12 8/15 30; g 11/07 22; g97 7/8 26

kupinga usahihi wake: w12 8/1 4-6

ni jambo la akili kuamini miujiza: w09 1/1 29; ct 126-127

si mifano tu ya kufundisha mambo ya kiroho: w05 2/15 5

uchambuzi: w10 3/1 5-6

dhana kuhusu uandikaji wa vitabu fulani vya Biblia: g04 4/8 8-9

msimamo wa Mashahidi: jv 103

vitabu vya Injili: w12 4/1 18-19; w10 3/1 8-11; w10 4/1 26-27; w08 10/1 12-14; w04 7/15 6-7; w01 12/15 5-6; w00 5/15 3-9

maelezo ya mtu aliyekuwa mchambuzi: w00 5/15 7

maelezo ya mwanahistoria Will Durant: w00 5/15 6-8

uthibitisho wa Diatessaron (kitabu): w10 3/1 11

wakati ambapo viliandikwa: w97 8/15 10; w96 12/15 7

waandikaji waliandika mambo ya kweli: g 11/07 6; w05 5/15 18; w05 7/15 6; g01 3/8 8; w98 4/1 14; ba 15-16; g96 2/8 10

wakati wa kuandikwa: w11 6/1 20-23

Historia

Abrahamu: g 5/12 18

Adria, bahari ya (Mdo 27:27): bt 209

Ashuru: g 12/10 26-28

Babiloni (milki): g 1/11 10-11

Danieli (kitabu): dp 20-23

Baruku (mwandishi wa nabii Yeremia) (Yer 32, 36, 43, 45): w11 5/1 15; w06 8/15 16

Belshaza (Da 5, 7, 8): g 1/11 10-11; w00 5/15 11-12; dp 15-17

karamu (Da 5): dp 22-23

bustani ya Edeni (Mwa 2): w11 1/1 3-9

Dario Mmedi (Da 5:31; 11:1): dp 17-18

Daudi: g 5/12 17; g 11/07 5; la 12-13; ba 14; w96 10/15 30-31

dhahabu ya Ofiri: w10 6/1 15

dinari yenye picha ya Kaisari (Mt 22:19-21; Mk 12:15-17; Lu 20:24): w11 7/1 29

Edomu: g 11/07 5; rs 35

Efeso:

ibada ya Artemi (Mdo 19): g 3/11 18-19

elimu ya vitu vya kale: g 11/07 15-18; w05 3/15 29; ba 14-15

si lazima mambo yote yathibitishwe na wataalamu wa vitu vya kale: g02 10/8 18-19

Esta: w12 1/1 28

Gedalia, mwana wa Pashhuri (Yer 38:1): jr 55; g 6/09 29

Gemaria, mwana wa Shafani (Yer 36:10-12): w11 5/1 15

Gharika (Mwa 6-9): w03 5/15 4-7; w02 3/1 4-5; w01 11/15 29; g97 2/8 26-27

hekaya: w07 6/1 6; w02 3/1 4

Siku ya Wafu, Mwezi wa 11: rs 281; w02 3/1 4

Gibeoni (Yos 9): g 5/12 18

Herode Agripa:

afa kwa sababu ya hotuba aliyotoa (Mdo 12:21-23): g 4/11 12

Hezekia: w11 5/1 15

mfereji wa chini kwa chini (2Fa 20:20; 2Nya 32:30): w09 5/1 27; w97 6/15 9-10; w96 8/15 5-6; g96 6/8 29

Ikoniamu halikuwa mojawapo ya majiji ya Likaonia (Mdo 14:6): bt 96

Kaisari Augusto:

uandikishaji wakati wa kuzaliwa kwa Yesu (Lu 2:1-3): g 4/11 11; w98 12/15 7

Kayafa: w06 1/15 10; w97 6/15 13

kipimo cha pimu (1Sa 13:21): w05 3/15 29

Kirenio:

watu wasajiliwa (waandikishwa) mara mbili wakati wa Kirenio (Lu 2:2): w98 12/15 7

Koreshi Mkuu (2Nya 36; Ezr 1; Da 1, 6, 10): g 1/11 12; rs 34-35

Maandishi kwenye Mwanzi wa Koreshi: g 6/12 13-14; g 2/11 16-17; w08 12/15 22

pesa za kujenga upya hekalu (Ezr 6:3, 4): g 2/11 17

Lakishi:

Barua za Lakishi: g 6/12 12; w07 11/15 14

latekwa na Waashuru: g 11/07 17; ba 14-15

Listra:

miungu Zeu na Herme iliabudiwa (Mdo 14:11-13): bt 97

Luka (mwanafunzi): bt 210

Luka alivyojua mambo ambayo Gamalieli alisema mbele ya Sanhedrini (Mdo 5:34-39): w08 5/15 31; w06 9/15 9

maandishi ya kikabari: w08 12/15 21-22

madhabahu kwa “miungu isiyojulikana” (Mdo 17:23): w12 3/1 18; g 3/11 18-19; bt 143; w02 7/15 32

maelezo: w12 6/1 5; w09 5/1 4-5; g 11/07 5; g01 3/8 8-11

maelezo ya—

Albright, Profesa William F. (mtaalamu wa vitu vya kale): la 13

gazeti U.S.News & World Report: w09 5/1 5

malika wa Sheba (1Fa 10; 2Nya 9): w97 2/15 9

masimulizi kuhusu mapigano: w05 4/15 32

Milki ya Roma: g 4/11 10-12

Misri: g 11/10 15-18

katika siku za Yosefu: g 11/10 15

kutengeneza matofali: w12 1/1 22

wazao wa Shemu waliruhusiwa kuingia wakiwa na mifugo yao: g 5/12 16

Musa: g04 4/8 3-13

Nebukadneza: dp 19-20

ngamia wamefugwa tangu siku za kale (Mwa 12:16; 24:10): w11 6/15 16-17

Ninawi: g 11/07 17; ba 14

Pontio Pilato: g 4/11 11; w09 5/1 5; g 11/07 5; w05 9/15 11-12

Samaria:

vigae (vipande vya vyombo vya udongo): w07 11/15 12-13

Sargoni wa Pili (Isa 20:1): w09 5/1 4; g 11/07 16

Senakeribu (2Fa 18, 19; 2Nya 32; Isa 36, 37):

avamia Yuda: g 12/10 27

Seraya, mwana wa Neria (Yer 51:59): w11 5/1 15

Shafani na familia yake (2Fa 22; 2Nya 34; Yer 36): w02 12/15 19, 21-22

Shishaki:

avamia Yuda (1Fa 14; 2Nya 12): g 11/10 16-17; w08 7/1 24

Ugiriki: g 3/11 17-19

Umedi na Uajemi: g 2/11 16-17

sheria (Da 6): dp 20-22

usahihi: g01 3/8 8; ba 14-17

upatano ambao haukupangwa: g 11/07 7; w98 4/1 14-15; ba 16-17

wafalme wa Israeli na wa Yuda: g 5/12 18; w96 10/15 30-31

Waisraeli waingia Kaanani: g 5/12 17-18

Waisraeli watoka Misri:

idadi ya Waisraeli (Hes 1:45, 46): g04 5/8 13-14

maandishi ya Misri hayataji kutoka kwa Waisraeli: g04 4/8 8-9

“watawala wa jiji” (Mdo 17:6, 8): w12 6/1 20

Wayahudi wafukuzwa Roma (Mdo 18:2): g 4/11 12

Yehoyakini: w12 6/1 5; g 11/07 16

Yehu (mfalme wa Israeli): w11 11/15 4

Yeriko:

majiji mawili katika siku za Yesu (Mt 20; Mk 10; Lu 18): w08 5/1 31

Yerusalemu:

lilitawaliwa na wafalme Wakanaani: w08 12/15 21-22

uharibifu (607 K.W.K.): w11 10/1 26-31; w11 11/1 22-28; w97 6/15 11-12

uharibifu (70 W.K.): g 11/07 15-16; w97 6/15 13

Yesu Kristo: w12 4/1 5; g 8/12 19; w09 5/1 7; g 12/06 3; rs 428; w03 6/15 3-7; w01 12/15 3-8; w96 12/15 3-8

kuamua “sababu ya kujikwaa” (1Ko 1:23): w12 5/1 23

maelezo ya Tasito: g 8/12 19; w10 4/1 15

maelezo ya Yosefo: w10 4/1 15; rs 428; w03 6/15 5

masimulizi ya vitabu vya Injili ni sahihi kihistoria: w10 3/1 8-11; w10 4/1 26-27

miujiza: w04 7/15 3-7

ufufuo: w12 4/1 7; w09 5/1 8; w01 3/15 3-7

Yuda:

hali ya ukiwa Waisraeli walipokuwa uhamishoni (Yer 25:11): g 6/12 14; w06 11/15 32

Yukali, mwana wa Shelemia (Yer 38:1): w11 5/1 15; jr 55; g 11/07 16; w06 9/15 14-15

Maandiko Yanayoonekana Kama Yanapingana Yafafanuliwa

Kutoka 20:5; Ezekieli 18:20: w10 3/15 28-29

Kutoka 34:14; 1 Wakorintho 13:4: w02 10/15 28

Mambo ya Walawi 3:17; Nehemia 8:10: w08 12/15 32

Mambo ya Walawi 11:40; Kumbukumbu la Torati 14:21: w05 7/1 27

Hesabu 25:9; 1 Wakorintho 10:8: lv 98; w04 4/1 29

Kumbukumbu la Torati 20:17; Waroma 12:18: w10 1/1 13-15

Kumbukumbu la Torati 31:2; Kumbukumbu la Torati 34:7: w06 10/1 31

Yoshua 11:23; Yoshua 13:1: w04 12/1 11-12

1 Samweli 16:10, 11; 1 Mambo ya Nyakati 2:13-15: w05 10/1 9; w02 9/15 31

2 Samweli 6:23; 2 Samweli 21:8: w05 5/15 19

2 Samweli 23:8; 1 Mambo ya Nyakati 11:11: w05 10/1 10

1 Wafalme 5:16; 9:23; 2 Mambo ya Nyakati 2:18; 8:10: w05 12/1 19

1 Wafalme 7:14; 2 Mambo ya Nyakati 2:14: w05 12/1 19

1 Wafalme 7:26; 2 Mambo ya Nyakati 4:5: w08 2/1 15; w05 12/1 19

1 Wafalme 18:1; Luka 4:25; Yakobo 5:17: w08 4/1 19

2 Wafalme 22:20; 2 Wafalme 23:29: w00 9/15 30

2 Wafalme 25:8; Yeremia 52:12: w07 3/15 11

1 Mambo ya Nyakati 1:18; Luka 3:35, 36: w05 10/1 8-9

1 Mambo ya Nyakati 3:17; Mathayo 1:12; Luka 3:27: w05 10/1 9

1 Mambo ya Nyakati 3:19; Ezra 5:2; Mathayo 1:12; Luka 3:27: w05 10/1 9

2 Mambo ya Nyakati 5:10; Waebrania 9:4: w06 1/15 31

2 Mambo ya Nyakati 14:3; 2 Mambo ya Nyakati 17:6: w09 6/15 12

Zaburi 102:25, 26; Waebrania 1:8, 10-12: rs 377

Danieli 1:1; Yeremia 25:1: dp 18-19

Zekaria 11:12; Mathayo 27:9: w11 8/15 13; w10 12/1 10

Mathayo 10:9, 10; Marko 6:8, 9; Luka 9:3: w11 3/15 6

Mathayo 17:1; Luka 9:28: w08 3/15 31

Mathayo 20:29, 30; Marko 10:46; Luka 18:35: w08 5/1 31

Mathayo 26:8; Marko 14:4; Yohana 12:4, 5: w00 4/15 31

Mathayo 27:28; Marko 15:17; Yohana 19:2: g 11/07 7

Mathayo 27:49, 50; Yohana 19:33, 34: w05 2/15 7

Marko 15:25; Yohana 19:14: w11 11/15 21

Waroma 3:28; Yakobo 2:24: w96 2/1 8

Manukuu

alama zaidi za uasilia katika Biblia kuliko historia yoyote isiyo ya kidini (Newton): ba 14; g96 2/8 10

habari za mfuatano wa matukio na za kijiografia zilizo katika Biblia ni sahihi na zenye kutegemeka kuliko zile zinazotolewa na hati nyingine zozote za kale: w12 6/1 5

hakuna maandishi mengine ya zamani ambayo yametufikia yakiwa sahihi kadiri hiyo: g 11/07 13; w98 4/1 12

nimegundua kwamba Biblia haijawahi kukosea: g 1/11 11

uasilia na uaminifu wa ujumla hatimaye umethibitishwa: g 11/07 13

upatano wa ajabu wa kitabu hiki: w12 6/1 7

ushauri mzuri wa kitiba: w12 6/1 8

Sayansi na Maumbile

dunia: g97 7/8 27

dunia ni mviringo, imetundikwa pasipo na kitu: g 11/07 8; w05 4/1 7; rs 37; ol 6; la 12; ip-1 412; ba 18-20; g97 7/8 27; g96 2/8 10

mzunguko wa maji: w09 1/1 14-17; w08 6/1 13; w08 9/1 27; w05 4/1 7; cl 52-53

elimu ya nyota:

Galileo: w05 4/1 3-5; g03 4/22 13; ba 4-5

idadi ya nyota: w04 6/1 11; cl 49-51

maoni ya wanasayansi kuhusu ulimwengu (sayari na nyota): w11 7/1 24-28; g97 7/8 27

habari zote katika chembe za urithi za wanadamu “zimeandikwa” (Zb 139:16): g 11/11 4-5; lf 13, 17; w07 6/15 22-23

maelezo: w12 6/1 6; g 2/11 22-23; g 2/09 7; g 11/07 8; w05 4/1 3-7; w05 7/15 5; ba 18-21; g97 7/8 26-27

miujiza: w09 1/1 29; g 11/07 22; w02 12/15 3; ct 126-127; g97 7/8 26

sayansi ina mipaka: w98 4/1 19; ba 21

sayansi ya tiba: w12 6/1 8; ct 127-128; g97 7/8 27

mzunguko wa damu (Mhu 12:6): w99 11/15 17

usafi: w12 6/1 6; w98 4/1 16-17; ba 20-21

sheria za asili: g 2/11 22-23; w05 4/1 6-7

uumbaji: lc 24, 26-28; w07 2/15 5-6, 8; g 9/06 18-20; g04 6/22 8, 10; ct 85-102

siku za uumbaji: g 9/06 19; rs 165-166; g02 6/8 10-11; ct 93, 101-102; ba 5

ulimwengu (nyota na sayari): g 2/12 17; w11 2/15 6-7; g 12/09 3-8; g 11/07 8; g 9/06 19; rs 36-37, 394; ct 88-91

wanadamu: rs 25; ct 98

wadudu:

chungu wanaweka akiba ya chakula kwa ajili ya majira ya baridi kali (Met 6:8): w10 7/1 9

wanasayansi wanaoamini Biblia: g 9/06 21-23

Tanaka, Kenneth (mtaalamu wa sayari): g 9/06 22; g03 9/22 18-21

wanyama: g02 9/8 28

sungura ni mcheuaji (Law 11:6; Kum 14:7): rs 37

Unabii

Ashuru: g 12/10 27-28

Babiloni: g 6/12 12-14; g 1/11 11-12; g 11/07 9; bh 23-24; rs 34-35; ip-1 215-225; w98 4/1 19-20; ct 105-107; ba 27-29

hali ya ukiwa (mahame): g 6/12 14; ct 106-107

ilitabiriwa kwamba Babiloni ingekuwa milki ya ulimwengu: jr 158

Koreshi apindua Babiloni, awarudisha Waisraeli nchini kwao: g 1/11 12; g 2/11 17-18; w06 6/1 21-22; rs 34-35; ip-2 70-72, 76-82; g96 2/8 8-9

chati za unabii na utimizo: g 11/12 15

kuzingirwa na kuharibiwa kwa Yerusalemu (66-70 W.K.): g 4/11 12-13

maelezo: w12 6/1 4; g 5/12 15-18; g 6/12 12-14; g 7/12 22-24; g 8/12 18-20; g 9/12 13-15; g 10/12 26-28; g 11/12 12-15; w08 1/1 22-24; g 11/07 9; bh 23-25; rs 34-36; ol 6-7; ba 27-29

Ugiriki:

Aleksanda Mkuu: w12 6/1 4; g 3/11 19-20

Umedi na Uajemi: g 2/11 17

unabii haukuandikwa baada ya matukio: w08 1/1 23-24; ct 106-111; ba 28

unabii wa Biblia unategemeka: rs 268

Yeremia: jr 154-155, 157-163

Yesu Kristo:

unabii mbalimbali uliotimia: w12 1/1 16; g 7/12 22-24; w11 8/15 8-16; bh 199-201; w00 5/15 16

Yuda:

miaka 70 ya uhamisho (Yer 25:11; 29:10): g 6/12 13-14

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki