BIOLOJIA
(Ona pia Chembe za Mwili; Chembe za Urithi [DNA]; Chembe za Urithi [Sayansi]; Mageuzi, Nadharia ya; Mimea; Protini; Sayansi ya Kuiga Uumbaji [Biomimetics]; Uhai; Utegemeano Kati ya Viumbe; Uumbaji; Viumbe Hai na Mimea; Wanyama)
aina mpya za mimea na wanyama wagunduliwa: g 8/11 21; g 2/10 30; g 8/10 30; g 1/07 15; g 3/07 22; g 6/07 30; g 1/06 20; g04 10/22 29; g03 3/22 29; g01 10/22 31; g98 3/22 28
chati “Kuainishwa kwa Viumbe”: g 9/06 14
idadi ya jamii za viumbe hai: g 6/12 28
kito aina ya kaharabu chenye mabaki ya wadudu wa zamani: g02 9/22 16-19
kuchagua jina la kiumbe au mmea mpya: g 4/12 23; g00 11/8 28
mchanganyiko wa vitu mbalimbali (misombo): g00 1/22 4-6
mmea mkubwa kuliko yote: g01 9/22 29
viumbe wa chini ya bahari: g05 10/8 28; g03 1/8 29; g00 11/22 4-6, 8-11
viumbe wadogo sana (nanobe): g00 11/22 10-11