WANYAMA
(Ona pia Bahari [Viumbe Hai]; Hifadhi za Wanyama; Kutoweka Kabisa [Mimea na Viumbe Hai]; Ndege [Viumbe]; Samaki; Sayansi ya Kuiga Uumbaji [Biomimetics]; Silika; Uhamaji [wa Wanyama, Ndege, Wadudu]; Uwindaji; Viumbe Hai wa Majini; Viumbe Wanaoruka; Wadudu; Wanyama-Mwitu [Hayawani]; Wanyama-Vipenzi; Wanyama Watambaazi; mnyama hususa; nchi hususa)
(Kuna kichwa kidogo: Wanyama Mbalimbali)
Adamu awapa majina: g 12/11 10; g04 2/22 3
afya ya wanyama mwitu: g02 12/8 29
agano la Sheria:
dhabihu: lv 76; w07 4/1 19
kutotokosa mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake: w06 4/1 31; w06 4/15 30; w04 3/15 27; w03 7/15 27
kutunza wanyama: g 12/11 10-11
“aina” katika Biblia: lc 27-28; g 9/06 13-14, 20; rs 392-393
amani pamoja na wanadamu: w12 9/15 9-10; g05 9/8 12; ip-2 387-388; w00 4/15 17-18
chati “Kuainishwa kwa Viumbe”: g 9/06 14
desturi za kuwaabudu wanyama:
India (tumbili): g97 8/22 28
dhabihu:
Israeli (la kale): w07 4/1 19
Gharika:
idadi ya wanyama safi wa kila aina katika safina: w07 3/15 31
wanyama safi na wasio safi: w04 1/1 29-30
hisi kama vile kuona, kusikia, na kadhalika: g03 3/8 5-10
imani ya kwamba mwanadamu anaweza kugeuka kuwa mnyama: g98 6/8 13-15
jamii za wanyama:
wanyama wapya wagunduliwa: g 8/11 21; g 1/07 15; g 3/07 22; g 6/07 30; g 1/06 20; g04 10/22 29; g03 3/22 29; g01 10/22 31; g98 3/22 28
kuepuka kuwagonga barabarani: g97 9/8 27
kupiga miayo: g97 8/8 31
kuwalinda wanyama: g96 8/8 7-8
kuhifadhi makao ya wanyama: g01 8/22 28-29
kuwatendea wanyama kwa rehema: g 12/11 10-11; w03 1/15 30-31
kuwaua wanyama: rq 24-25
kuwawinda wanyama: w07 12/1 31; w07 12/15 30; rq 24-25
madhara yanayosababishwa na wanyama wanaoingizwa kutoka nchi nyingine: g04 1/8 28
magonjwa:
kichaa cha ng’ombe (ugonjwa unaoharibu chembe za neva): g97 5/8 32; g96 11/22 29
makala za Amkeni! zathaminiwa: g97 9/8 30
maoni ya Biblia: g 12/11 10-11; lv 78; bh 128; g04 2/22 3-4, 6-7, 9, 11; rq 24-25
hawakuumbwa waishi milele: g 5/06 8; g04 2/22 6, 9
kula nyama: g04 2/22 6-7; g97 8/8 18-20
kuwatenda wanyama kwa ukatili: g98 11/8 26-27
mawasiliano: g03 9/22 3-6; g02 4/8 16-19; ct 59-60
mngurumo wa simbamarara ambao hausikiki: g01 10/8 28
tembo wanawasiliana kwa sauti ambayo wanadamu hawawezi kusikia: g97 12/22 29
mbinu za kuchunguza mwendo wa wanyama: g02 3/22 13-15
minyoo wanaotokeza mwangaza: g 11/06 26
misitu ya mvua: g98 5/8 7-10
mnyama mwenye umri mkubwa kushinda wote: g 7/09 30; g 9/06 30
mnyama mzee kuliko wanyama wote wanaonyonyesha: g 3/08 27
mwendo wa—
duma: g97 9/22 15-16; g96 7/22 31
mbuni: w06 1/15 14; cl 54; g99 7/22 16
simba: g99 1/22 18
ndege zinatumiwa kuwakusanya mifugo: g98 2/22 29
ugonjwa:
maradhi ya sotoka (ugonjwa wa n’gombe) yakomeshwa: g 5/12 29
urafiki kati ya wanyama: g05 3/8 29
usingizi: g97 10/8 24-25
uwindaji haramu:
Afrika: g 1/07 15
waliolewa: g03 9/22 28
waliotumika vitani:
nguzo ya makumbusho (London): g05 11/22 29
wanadamu ni bora: w07 6/15 23; g03 3/8 10-11; w99 6/15 17-18; g98 6/22 3-11
hisabati: ct 61
uwezo wa kufikiria wakati ujao: ct 69-71
uwezo wa kuwasiliana: g03 9/22 8-9; w99 6/15 17; ct 56-61
wanakula takataka: g04 9/22 28
wanaoathiriwa na binadamu: g02 8/22 29
wanaocheua: g05 9/8 5
wanasayansi wanatumia wanyama:
kupima kemikali: g98 12/22 5-6
wanavyowalisha watoto: g05 3/22 14-15
kaseti zenye sauti za mama: g00 2/22 29
wanavyowatunza watoto: g01 1/22 15-18
wanaweza kutambua mapema kwamba kutakuwa na tetemeko la ardhi: re 105
wanusurika katika dhoruba kali (Ufaransa, 1999): g01 7/22 28
wanyama ni nafsi: w07 7/15 4; bh 209; rs 222-223; bi12 1958; w99 4/1 15
wanyama wanaotengeneza vifaa: g 4/10 14
wanyama wanavyofanya theluji inapofunika ardhi: g 2/08 16-18
wanyama waumbwa: ct 97
waliumbwa kulingana na aina yao: lc 27-28
Yehova amuuliza Ayubu maswali kuwahusu wanyama: w06 1/15 13-16
Wanyama Mbalimbali
(Ikiwa hakuna marejeo, ona kichwa kikuu)
aligeta (ona kichwa Mamba):
alpaca: g04 5/8 16
behemothi:
buku:
choroa:
chui:
coati:
coruro (panya mdogo): g01 3/22 28
dinosau:
dubu:
duma:
elki (kongoni wa Ulaya): g96 5/22 29
farasi:
fisi:
fisimaji:
guanaco: g04 5/8 16
jaguar (chui wa Amerika):
kaa:
kakakuona:
mlaji wa mchwa (yurumí): g02 11/22 14-15
kangaruu:
kasa:
kiboko:
kifaru:
kindi:
kinyonga:
koala:
kondoo:
konokono:
lamoid:
lemming: g98 11/8 29
Lewiathani:
liger (uzao wa simba na simbamarara): g 6/08 16-17
llama:
mamba:
mamothi (mnyama aliyetoweka anayefanana na tembo):
mbawala (wa nchi za baridi):
mbawala aina ya muntjac: g01 10/22 31
mbuzi:
mbuzi-mwitu:
mbwa:
mbwa-mwitu:
melesi: g02 11/8 12-13
mijusi:
mjusi:
moose:
mouflon (kondoo mwitu):
ndama:
ngamia:
ngawa: g01 10/22 31
ng’ombe:
ng’ombe dume (fahali):
ng’ombe dume wa Vu Quang: g01 10/22 31
nguchiro aina ya meerkat: g01 9/8 26-27
nguruwe:
nguruwe mwitu:
nungunungu: g03 4/22 15-17; g03 12/22 30
nyani: g05 9/8 3-4; g97 11/22 28
nyati:
nyatisinga:
nyoka:
nyumbu (kongoni):
opossum: g 4/07 16
orangutangu (nyani mkubwa):
paa:
paa mbuzi (chamois):
paka:
panda:
panya:
panyabuku:
popo:
potoroo: g02 10/8 29
pulatipasi (platypus):
puma:
punda:
punda milia:
shetanimwitu wa Tasmania: g 4/12 10; g97 5/8 24
sili:
simba:
simba-mangu:
simbamarara:
sloth:
sokwe:
sokwe mtu:
sokwe wanaoishi kwenye nyanda za chini:
sungura:
swala:
swalapala:
tandala:
tembo (ndovu):
thilasini (simbamarara wa Tasmania):
tumbili:
twiga:
vicuña:
wibari:
wombati:
wombati wa kawaida (Tasmania): g 4/12 10-11