Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Fadhili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Fadhili
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

FADHILI

(Ona pia Fadhili Zenye Upendo; Fadhili Zisizostahiliwa; Hisia-Mwenzi [Huruma]; Huruma; Rehema)

“iweni wenye fadhili” (Efe 4:32): w12 7/15 30

katika huduma ya shambani: w12 3/15 12-13; km 10/05 1; w04 4/15 21-22

kuepuka fadhili zisizofaa: w04 4/15 13

kumtendea mume au mke kwa fadhili: g 7/08 7

“kupenda fadhili” (Mik 6:8): w12 11/1 22; jd 105-108; w03 8/15 21-22; w97 8/1 19

kuwafundisha watoto wawe wenye fadhili: w07 9/1 22-25; lr 82-86; g99 7/22 29

kuwasaidia kwa fadhili wasiotenda kiroho: w03 2/1 16-17

kuwatendea Wakristo wenzi kwa fadhili: w09 9/15 10-11; w97 8/1 18-19

maelezo: w12 9/1 18-20; w04 4/15 12-22

mambo yaliyoonwa:

dada aongea kwa urafiki na mpita njia mwenye dharau: yb04 46

kasisi mpinzani: yb06 58-60

kijana aguswa moyo kwa sababu ndugu yake hakulipiza kisasi: yb10 63-64

kijana Mjapani: w12 9/1 18

Mashahidi wampelekea mpinzani aliyelazwa hospitalini mchuzi: yb07 235, 238-239

maua kwa ajili ya mwanamke mzee mwenye uchungu: w12 6/15 32

mfungwa wa kisiasa katika kambi ya kazi ngumu: yb08 131-132

mhariri asahihishwa kwa fadhili: w01 1/1 17

mlemavu na wazazi wake: yb09 45-46

mpinzani abadili maoni: yb06 49-50

mpinzani aliyempigia ndugu kelele atembelewa hospitalini: yb05 53

mtu aliyevutiwa na fundi Shahidi mwenye fadhili: yb06 62-63

muuzaji wa chakula avutiwa na mwenendo wa Wanabetheli: yb07 51

mwanamke aona jinsi Wakristo wanavyowatendea wanawake: g98 4/8 14

mwanamke mwenye kansa akubali kweli: yb07 64

mwanamke mwenye mtoto mdogo ashikwa na uchefuchefu baharini: km 2/01 1

mzee anayengoja kumwona daktari atendewa kwa fadhili: yb06 50

Shahidi amsaidia mwanamke mhamiaji kubeba mizigo: yb10 58-59

wanawake wazee wasaidiwa: yb08 52; km 10/05 1

wenzi wa ndoa watalii wahudhuria kusanyiko: w12 3/15 32

mifano:

Mashahidi wamsaidia msichana aliyeachwa afie barabarani: w07 2/15 11

mke amtunza mume mwenye kutusi: yb05 52-53

mwanamke aliyeketi kando ya barabara akilia: yb05 50

Shahidi amruhusu mwanamke mzee kumwona daktari kwanza: km 8/03 1; w02 1/15 19-20

Shahidi amsaida mjane mwenye watoto wadogo watano: w12 9/1 20

Shahidi amsaidia mtu kuingiza sofa iliyokuwa imekwama mlangoni: km 1/07 1

Shahidi atafsiri mazungumzo ya simu: km 1/07 1

Shahidi awasaidia waliojeruhiwa katika msiba wa barabarani: g04 8/8 13

Shahidi mwenye ugonjwa usiotibika atunzwa: w09 9/15 20

ukuta wa jirani mpinzani wajengwa upya: w09 6/15 9

viti kwenye kusanyiko vyaachiwa wengine: w09 2/15 21

waliopatwa na misiba kadhaa watunzwa: w04 12/15 22

mifano katika Biblia:

watu wa Malta (Mdo 28): bt 209-210; w02 5/15 19

Yehova: w12 9/1 18

Yesu: w09 9/15 9-10

neno la Kiebrania: w12 11/1 22; w97 8/1 19

sehemu ya tunda la roho ya Mungu: w11 4/15 24-26; w07 7/15 23-24

ufafanuzi: w12 9/1 18; w04 4/15 12

ni tofauti na fadhili zenye upendo: w10 8/15 21-22; w02 5/15 18-19

‘upendo ni wenye fadhili’ (1Ko 13:4): cl 303

wazee Wakristo wanapaswa kutenda kwa fadhili: w06 5/1 20

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki