MAKANISA
(Ona pia Dini Zinazodai Kuwa za Kikristo [Jumuiya ya Wakristo]; Makanisa Makuu; Makasisi)
(Kuna vichwa vidogo: Majengo; Manukuu)
biashara: g02 6/22 29
jitihada za kuwavutia watu:
michezo ya video yenye jeuri: g 8/08 30
kinachowafanya watu waende kanisani: w03 12/1 3-4
kuamua kuwa mfuasi wa kanisa au la: w04 6/1 3-4
kutoa sadaka:
kwa kutumia kadi za benki na za mikopo: g03 8/8 29
maana ya neno “kanisa” katika Biblia: g01 3/8 12
makanisa makubwa: w07 3/1 4; g 2/07 6
makanisa yaadhimisha siku ya kuzaliwa ya Darwin (Marekani): g 11/06 27
makanisa yahimizwa yaache kugeuza imani ya watu: g98 5/8 28
makanisa yaliunga mkono utawala wa Wanazi: w97 8/15 32
makanisa yameshindwa kuwafundisha wafuasi wapendane: g98 10/22 3-4
makanisa yameshindwa kuwahimiza wafuasi wahubiri: w99 12/15 32
makanisa yanavyotegemezwa kifedha: w02 12/1 3-4
makanisa yaomba msamaha kwa dhambi za nyakati zilizopita: w98 3/1 3-7
makanisa yawapinga Mashahidi:
kanisa lafanya mkutano katika jumba lililokodiwa kwa ajili ya Ukumbusho: w10 6/15 19
makanisa yalivyotenda kuhusu kufungwa na baadaye kufutwa kwa mashtaka dhidi ya wawakilishi wa Shirika la Watch Tower (1918-1919): re 168
mambo yaliyoonwa:
kujiuzulu kanisani: jv 53
mavazi ya wanaoenda kanisani: g99 7/22 29
mwongozo kuhusu maadili unakosekana: g 4/07 7
ubaguzi wa rangi: w99 8/1 32
ukosefu wa umoja: w10 9/15 15; w04 3/1 6
Baraza la Makanisa Ulimwenguni: g99 4/8 28
mgawanyiko juu ya mwaka wa 2000: g96 10/8 29
uvutano unapungua: g 2/07 3-8; g02 4/22 5-7; w98 7/1 3
jitihada za kuwazuia wafuasi wasiache makanisa: g98 12/8 29
Kanisa la Anglikana: re 229
kinachofanya watu waache kanisa: w98 7/1 3
madhehebu ya Uprotestanti nchini Marekani: g97 6/22 28
Ujerumani: g 2/07 5; g03 12/8 29
wamishonari kutoka Afrika, Asia na Amerika Kusini watumwa Amerika Kaskazini na Ulaya: w04 3/1 3-4
watu wengi wanabuni njia zao za kuabudu: g02 4/22 4, 8-9
vita: w06 3/1 6
Afrika Kusini: yb07 112-113
Wakristo wa kweli hawajatawanyika katika makanisa tofauti-tofauti: rs 300
Majengo
hakuna uhusiano kati makanisa na mahekalu nchini Israeli: w02 11/15 6
jina la Mungu: g 7/10 21; g 11/09 24-25; g04 1/22 8, 31
limeandikwa kwenye kanisa huko St. Louis, Missouri, Marekani: w08 6/1 22
Polinesia ya Ufaransa: w03 7/1 29
kama yanahitajika kwa ajili ya ibada: w02 11/15 3-9
Kanisa la Kaburi Takatifu: w08 3/15 22-23; w99 2/15 24-25
kanisa la Mejorada del Campo (Hispania): g96 4/8 10
kuhudhuria arusi au mazishi kanisani: w07 10/15 27-29; w02 5/15 28
mahali pa kubatizia: g 9/07 12-14
majengo yaliyojengwa mahali pa mahekalu ya ibada ya jua: g05 12/22 24
majengo ya makanisa yanatumiwa kwa makusudi mengine: g 4/07 30; w02 11/15 4; g97 2/22 29
majengo ya makanisa yanauzwa: g03 2/22 29; g96 3/22 29
makanisa yaathiriwa na uhalifu:
unyang’anyi: g96 2/22 28
makanisa yafungwa (Wales): g96 9/8 31
mambo yaliyoonwa:
apata vitabu vya Mashahidi kanisani: yb11 67-68
mizingile: g99 12/22 20, 23-24
moshi wa mishumaa na ubani: g05 11/22 29
Pantheon (Rome): g01 10/8 8; w99 3/15 24-25
Manukuu
kanisa halina makali. Limekubali utamaduni wa wakati wetu na kuufuata: jv 172
kanisa hufuata bendera: w96 4/15 13; g96 4/22 5
makanisa ya Kikristo ndiyo wachochezi wakuu wa umwagikaji wa damu: g98 10/22 4; g96 4/22 5
makanisa yamejitoa kubariki vita, majeshi, na silaha kwa njia isiyopatana hata kidogo na Ukristo yakiomba uharibifu wa maadui wayo: w97 1/1 32; ba 25
matakwa machache sana ya kiadili kuliko hata yale ambayo mtu anahitaji kutimiza ili aingie kwenye basi: g 4/07 7