TAREHE
(Ona pia Kalenda; Kronolojia [Tarehe za Matukio]; Tarehe Zinazohusu Unabii)
(Kuna vichwa vidogo: K.W.K.; Ufafanuzi wa Mafundisho; W.K.)
Biblia:
jinsi ya kujua tarehe mbalimbali: rs 395
chati:
endelea kusema, “Njoo!”: w10 2/15 16
karne ya 20: g99 12/8 2, 4, 6, 8-9
matukio ya maana katika historia ya kisasa ya Mashahidi wa Yehova: jv 718-723
miaka ya matukio muhimu katika ukuzi wa Ukristo katika karne ya kwanza: bt 12
orodha ya matukio yanayohusu uzao wa Abrahamu na kutoka kwa Waisraeli Misri: g 5/12 16-17
tarehe muhimu zinazohusu kutafsiri na kunakili (kupitishwa kwa) Biblia: w97 8/15 8-9; w97 9/15 26-27
tarehe zinazohusiana na vituo vya angani: g99 8/22 17
Umedi na Uajemi Dhidi ya Ugiriki—Karne Mbili za Mapigano: g99 8/8 26
wafalme wa Yuda na Israeli: w05 8/1 12
juma la mwisho la maisha ya Yesu:
matukio ya kila siku: w11 2/1 22-24; w00 9/15 16-20
kabla ya Gharika: rs 396-397
kifo cha Yesu:
tarehe muhimu sana katika historia: g 3/06 32
Mashahidi wa Yehova:
1878: jv 631-633
1881: jv 632
1914: jt 6-7; jv 134-138, 634-637
1915: jv 632
mfumo wa K.K. na A.D.: w99 11/1 4, 6
mfumo wa K.W.K. na W.K.: g97 5/22 29
kinachofanya Mashahidi waupendelee: g 3/09 30
mstari wa tarehe wa kimataifa: yb09 73, 118; g01 12/22 13-14; g97 9/22 29
mwisho wa ulimwengu (mfumo huu wa mambo): w08 2/15 25; g 4/08 4-5; w06 2/1 22-23, 26; rs 399; w98 9/15 10-15
hakuna haja kujua tarehe: bt 16; kp 14; w98 11/15 17-19; w98 12/15 30
‘hamwijui siku wala saa’ (Mt 25:13): w12 9/15 23-27
tarehe imewekwa: w98 11/15 16-17
tarehe ambazo Biblia na historia ya ulimwengu zinakubali (tarehe za msingi): rs 395
539 K.W.K.: w11 10/1 28
Ukumbusho: w12 3/1 16; w11 2/1 21-22; w08 4/1 29; bh 206-207; od 75-76; rs 339-340; w03 2/15 14
kinachofanya tarehe ya Ukumbusho mara nyingi itofautiane na tarehe ya Pasaka ya siku hizi: w11 2/1 22; rs 340
K.W.K.
4026, Adamu aumbwa: bm 4
3404, Enoko azaliwa: w01 9/15 29
3096, Adamu afa: bm 5
2490, tangazo alilotoa Mungu kuhusu wanadamu (Mwa 6:3): w12 4/15 23
2470, Yefethi azaliwa: w12 4/15 23
2370, Gharika yaanza: bm 6; w03 5/15 4-5
2018, Abrahamu azaliwa: bm 7
1943, Abrahamu avuka Mto Efrati: w01 8/15 17
agano la Abrahamu laanza kufanya kazi: bm 7; w04 1/15 27; w01 8/15 17
1913, miaka 400 ya mateso yaanza (Mwa 15:13): w04 1/15 27
1750, Yosefu auzwa utumwani: bm 8
m. 1613, Ayubu ajaribiwa: bm 9
1513, Waisraeli watoka Misri: g 5/12 17; bm 10
1473, Waisraeli waingia Nchi ya Ahadi: bm 11
m. 1467, kutekwa kwa nchi yote ya Kanaani kwakamilika: bm 11
1117, Sauli aanza kutawala: bm 12
1077, Ish-boshethi awekwa kuwa mfalme wa Israeli: w05 5/15 17
1075, Ish-boshethi auawa: w05 5/15 17
1070, Daudi awekwa kuwa mfalme wa taifa zima la Israeli: w05 5/15 17
b. 1070, agano la Ufalme pamoja na Daudi: bm 13
m. 1040, kitabu cha Pili cha Samweli chaandikwa: w05 5/15 16
1037, Sulemani aanza kutawala: bm 13
1027, Sulemani amaliza kujenga hekalu: bm 13
1026, Sulemani aweka wakfu hekalu: w05 7/1 29
m. 1020, kitabu cha Wimbo wa Sulemani chaandikwa: bm 13; w06 11/15 17
997, taifa la Israeli lagawanyika na kuwa falme mbili: bm 14
m. 905, Yehu awekwa kuwa mfalme wa Israeli: w98 1/1 12
m. 820, kitabu cha Yoeli chaandikwa: w07 10/1 12; jd 17
m. 778, Isaya aanza kutoa unabii: ip-1 7, 87
777, Mika aanza kutoa unabii: w07 11/1 13
b. 745, kitabu cha Hosea chaandikwa: w05 11/15 17
k. 717, kitabu cha Mika chaandikwa: w07 11/1 13
m. 717, kitabu cha Methali chakamilishwa: bm 15; w06 9/15 16
659, Yosia awa mfalme wa Yuda: jr 16
k. 648, kitabu cha Sefania chaandikwa: w07 11/15 8
647, Yeremia awekwa kuwa nabii: jr 17; w07 3/15 8
k. 632, kitabu cha Nahumu chaandikwa: w07 11/15 8
632, Ninawi laanguka: jr 18; g 12/10 28; g 11/07 17
629, Yosia afa: jr 18
m. 628, kitabu cha Habakuki chaandikwa: w07 11/15 8
625, vita vya Karkemishi: jr 24; dp 31
Yeremia amwagiza Baruku aandike unabii: w06 8/15 17
624, Baruku asoma kitabu cha kukunjwa katika ua wa hekalu: w06 8/15 17
618, Nebukadneza azingira Yerusalemu: jr 24; dp 32
Yehoyakimu afa: dp 32
618-617, Yehoyakini atawala, apelekwa uhamishoni: jr 24-25; dp 32
617, kikundi cha kwanza cha Waisraeli wapelekwa uhamishoni kutoka Yerusalemu: jr 24-25
613, Ezekieli awekwa kuwa nabii: w07 7/1 11
612, maono ya Ezekieli kuhusu ibada ya uwongo hekaluni: w07 7/1 11
611, unabii wa Ezekieli wathibitisha kwamba Yerusalemu lingeharibiwa: w07 7/1 13
607, jiji la Yerusalemu laharibiwa: w11 10/1 26-31; w11 11/1 22-28; w11 12/15 31; bm 16
kitabu cha Maombolezo chaandikwa: w07 6/1 8
m. 607, kitabu cha Obadia chaandikwa: jd 25
m. 606, Nebukadneza aota ndoto kuhusu sanamu (Da 2): w07 9/1 18; dp 46
593, maono ya Ezekieli kuhusu hekalu la wakati ujao: w99 3/1 8
586 au 587, wanahistoria wanasema huu ndio mwaka ambao Wababiloni waliharibu Yerusalemu: w11 10/1 26, 28-31; w11 11/1 22-25, 27
580, kitabu cha Kwanza na cha Pili cha Wafalme chaandikwa: w05 8/1 8
Yehoyakini aachiliwa huru akiwa Babiloni (Yer 52:31-34): jr 31
560, Koreshi Mkuu awa mfalme wa Uajemi: w11 10/1 28; dp 149
553, Danieli apokea maono (Da 7): w07 9/1 19; dp 129
551, Danieli apokea maono (Da 8): w07 9/1 19
539, Koreshi ateka Babiloni na kuwa mfalme wake: w11 10/1 28; bm 17
Danieli apokea unabii kuhusu majuma 70 (Da 9): w07 9/1 19
537, Wayahudi warudi na madhabahu yajengwa: bm 17; w06 1/15 17, 19
536, Danieli apokea unabii kuhusu mfalme wa kaskazini na wa kusini (Da 10-12): w07 9/1 19-20; dp 198, 201, 308
msingi wa hekalu wawekwa: w06 1/15 18
530, Koreshi Mkuu afa: w11 10/1 28
529, Cambyses wa Pili aanza kutawala: w11 10/1 28
522, kazi ya kujenga hekalu yapigwa marufuku: w06 1/15 18
520, ujenzi wa hekalu waanza tena: w06 1/15 18
kitabu cha Hagai chaandikwa: w07 12/1 8; jd 26
518, kitabu cha Zekaria chaandikwa: w07 12/1 8
515, ujenzi wa hekalu wakamilika: w06 1/15 18; w98 3/1 12
490, pigano la Marathoni, Ugiriki: w05 9/1 28
480, Shasta wa Kwanza avamia Ugiriki: dp 213; g99 4/8 25-27
vita vya Thermopylae: g99 4/8 26-27
479, Wagiriki wawashinda Waajemi huko Plataea: g99 8/8 25-27
474-473, mwaka wa kwanza wa utawala wa Artashasta Longimano: dp 197
468, Ezra aenda Yerusalemu: w06 1/15 19
m. 460, kitabu cha Kwanza na cha Pili cha Mambo ya Nyakati chaandikwa: w05 10/1 8; w05 12/1 18
455, Artashasta Longimano atoa amri ya kujenga upya Yerusalemu na kuta za Yerusalemu: w06 2/1 8-9; dp 197
ujenzi wa kuta za Yerusalemu wamalizika: bm 17; w98 3/1 12
b. 443, kitabu cha Malaki chaandikwa: bm 18
336, Aleksanda Mkuu awa mfalme: dp 213
301, majenerali wa Aleksanda watawala: dp 214-215
m. 280, kazi ya kutafsiri Septuajinti yaanza: w08 12/1 19; w97 8/15 9
168, hekalu la Yerusalemu latiwa unajisi: w97 10/1 11
63, Yerusalemu latekwa na Waroma: w01 6/15 30
31, Oktavia amshinda Marko Antony: dp 248
30, Roma yawa serikali kuu wa ulimwengu: dp 248
27, Oktavia awa maliki, atangazwa kuwa “Augusto”: dp 249
2, Yesu azaliwa: bm 19; w99 11/1 4-5; g98 3/22 28-29
Ufafanuzi wa Mafundisho
1872, fidia: jv 718
1881, kinachofanya Mungu aruhusu uovu: jv 123
nafsi: jv 126-127
Yehova: jv 123
1886, “mamlaka zilizo kubwa” (Ro 13): w96 5/1 13
1907, maagano: jv 629-630
1917, Ufunuo: jv 148
1920, “habari njema ya ufalme” inahusu Ufalme ambao umeanza kutawala: w06 2/1 25
unabii wa Mathayo 24:14 unapotimia: jv 292
1923, “kondoo” na “mbuzi” (Mt 25): re 120; ip-2 254; jv 164
1925, Har-Magedoni: jv 140
tengenezo la Yehova na la Shetani: w06 2/15 28-29; jv 78-79
Ufalme wazaliwa: w06 2/15 28-29; re 177; jv 78-79, 138-139
1926, Har-Magedoni: jv 140
kusitawisha tabia (sifa nzuri): jv 172-173
1927, “mtumwa mwaminifu na mwenye busara” (Mt 24:45-47): jv 143, 626
1928, “habari njema ya ufalme” haihubiriwi kwa kusambaza Biblia tu: w06 2/1 24-25
Krismasi: jv 199
Piramidi Kuu ya Giza (Gizeh): w00 1/1 9-10
1929, “mamlaka zilizo kubwa” (Ro 13): w96 5/1 13-14
1930, Ufunuo: jv 148
1931, wanaotiwa alama kwenye paji la uso (Eze 9:4): re 120; ip-2 254-255; jv 165
1932, jamii ya Yehonadabu (Yonadabu): re 120; ip-2 255; jv 83, 165-166
“kondoo wengine” wanapaswa kuhubiri: w10 2/15 16; jv 292
kuwaweka wazee Wakristo rasmi: jv 213, 638-639
unabii mbalimbali kuhusu kurudishwa: jv 141
1934, “kondoo wengine” wanapaswa kujiweka wakfu na kubatizwa: w09 8/15 16; re 120; jv 83
maagano: jv 630
1935, kusalimu bendera: w06 2/15 29
tarehe za matukio (kronolojia): jv 632-633
“umati mkubwa” (Ufu 7): w06 2/15 29; re 120, 122; w01 5/15 14-15; ip-2 255; jv 83-84, 166-167, 169-170, 261, 443-444
1936, msalaba: w06 2/15 29
1937, “kondoo wengine” wapewa madaraka: jv 216
1938, kusiwe na mikutano tofauti kati ya watoto na vijana: jv 246
mipango ya usimamizi ya kutaniko na ya kuweka ndugu rasmi: w06 2/15 28; w02 7/1 17; ip-2 317; w99 2/1 18; jv 217-221, 639
uhusiano kati ya watiwa-mafuta na “umati mkubwa”: w99 2/1 18
1939, kutounga mkono siasa au vita: jv 193
1941, suala la haki ya enzi kuu ya Yehova: jv 261-262
1942, mnyama anayepanda kutoka katika abiso (Ufu 17:8): re 246-248; jv 93, 262
1943, tarehe za matukio (kronolojia): jv 133, 632-633
1944, Baraza Linaloongoza: jv 228-229
jinsi kutaniko linavyopaswa kuwashughulikia wakosaji: jv 187
kanuni za Biblia zinazohusu mkataba wa Shirika la Watch Tower: jv 228-229
tarehe za matukio (kronolojia): jv 133, 632-633
1945, utakatifu wa damu: w06 2/15 29; jv 183
1947, ndoa ya wake wengi: jv 176
1950, neno “dini”: jv 567
1952, kutenga na ushirika: w06 5/15 25; jv 187
1953, Gogu wa Magogu (Eze 38, 39): jv 263
vitu vyenye kutamanika vya mataifa (Hag 2:7): jv 263-264
1961, damu ni takatifu: jv 183-184
1962, “mamlaka zilizo kubwa” (Ro 13): w06 2/15 29-30; g00 10/22 22-23; jv 147, 198, 264; w96 5/1 14
1963, Babiloni Mkubwa: jv 147
Ufunuo: jv 148
1966, dinari ambayo wafanyakazi wa shamba la mizabibu walilipwa (Mt 20): w07 5/1 30
1969, dhiki kuu: w99 5/1 16
Ufunuo: jv 148
1971, Baraza Linaloongoza: jv 106-107, 233-234
mpango wa baraza la wazee Wakristo: jv 106, 233
1972, hekalu kubwa la kiroho la Yehova: w10 7/15 22; w00 3/15 13
kuwekwa rasmi kwa wazee na watumishi wa huduma: w06 5/15 24
1973, tumbaku: w06 2/15 30; jv 181
1976, kazi inayohusisha kucheza kamari: jv 180
1983, matumizi ya bunduki: w06 2/15 30
1985, “kondoo wengine” watangazwa kuwa waadilifu kama rafiki za Mungu: w06 2/15 30
1987, Yubile ya Kikristo: w06 2/15 30
1988, Ufunuo: jv 148
1995, “kizazi hiki” (Mt 24:34; Mk 13:30; Lu 21:32): w97 6/1 28
“kondoo” na “mbuzi” (Mt 25): w06 2/15 30; w97 7/1 31
1996, “mwili” utakaookoa “dhiki kuu” (Mt 24:22): w96 8/15 15-20
ndoa ya kimila (kikabila) yakubalika: g96 12/8 23
utumishi wa kiraia badala ya kujiunga na jeshi: w96 5/1 19-20
1997, maono kuhusu kugeuka sura (Mt 17; Mk 9; Lu 9): w97 5/15 9-14
1998, maono ya Ezekieli kuhusu nchi na hekalu (Eze 40-48): w06 2/15 30; w00 3/15 13-14; w99 1/15 9; w99 3/1 8-23
mataifa yanabarikiwa kupitia uzao wa Abrahamu (Mwa 22:18): w98 2/1 14-15
muda ambao agano jipya litadumu (Ebr 13:20): w98 2/1 22-23
1999, ‘chukizo ambalo limesimama katika mahali patakatifu’ (Mt 24:15; Mk 13:14): w06 2/15 30; w99 5/1 15-20
2000, kutumia damu ya mtu mwenyewe: w00 10/15 30-31; w00 12/15 30
visehemu vya damu: w00 6/15 29-31
2001, “cheti cha talaka” kwa Yuda (Isa 50:1): ip-2 152-153
kumwabudu Yehova “kwa roho” (Yoh 4:24): w06 2/15 30; w02 7/15 15; w01 9/15 28
‘njiwa kwenye matundu ya ndege’ (Isa 60:8, 9): w02 7/1 12-13; ip-2 309
2002, ua ambamo “umati mkubwa” unatumika (Ufu 7:15): w02 5/1 30-31
2003, kilichowafanya baadhi ya Wakristo katika karne ya kwanza watimize matakwa fulani ya Sheria: w03 3/15 23-25
maana ya ubatizo wa waamini Wayahudi siku ya Pentekoste 33 W.K.: w03 5/15 30-31
2007, mwito wa wale watakaoenda mbinguni unapokoma: w07 5/1 30-31; w07 8/15 19
ufufuo wa wale wanaoenda mbinguni ulipoanza: w07 1/1 27-30
2008, “kizazi hiki” (Mt 24:34; Mk 13:30; Lu 21:32): w10 4/15 10; w08 2/15 23-24; w08 4/15 29
mfano kuhusu chachu iliyofichwa katika unga (Mt 13; Lu 13): w08 7/15 19-21
mfano kuhusu mbegu ya haradali (Mt 13; Mk 4; Lu 13): w08 7/15 17-19, 21
mfano kuhusu wavu (Mt 13): w08 7/15 20-21
mfano kumhusu mtu anayetupa mbegu (Mk 4:26-29): w08 7/15 14-16
uchungu wa Maria alipomzaa Yesu: w08 10/1 23
2009, tumaini la ufufuo kwa mtoto anayefia ndani ya tumbo la uzazi: w09 4/15 12-13
“uumbaji wote ulio chini ya mbingu” (Kol 1:23): bt 217
2011, kuingia katika pumziko la Yehova (Ebr 4): w11 7/15 24-28
mzeituni (Ro 11): w11 5/15 23-25
Petro jijini Roma: w11 8/1 25
Yesu ni “fidia inayolingana” (1Ti 2:6): w11 6/15 13; w11 8/15 32
2012, “falme hizi zote” (Da 2:44): w12 6/15 17
mfalme wa saba wa ulimwengu alipoibuka: w12 6/15 15, 19
miguu ya sanamu katika ndoto ya Nebkadneza (Da 2): w12 6/15 15-16, 19
Mordekai na Esta ‘wagawanya nyara’ katika utimizo wa Mwanzo 49:27: w12 1/1 29
uharibifu wasababishwa na “mfalme mwenye sura kali” (Da 8:23, 24): w12 6/15 16
vidole vya miguu ya sanamu ya Nebukdneza (Dan 2): w12 6/15 16
W.K.
14, Tiberio awa maliki: g 4/11 11; dp 249-250
29, Yesu abatizwa mwishoni mwa mwaka wa 29 na kuwa Kristo (Masihi): bm 19-20; w06 2/15 6
31, Yesu achagua mitume 12: bm 20
Yesu atoa Mahubiri ya Mlimani: bm 20; cf 46
32, Yesu ahudhuria Sherehe ya Vibanda: w98 3/1 12-13
Yesu amfufua Lazaro: bm 21
33, Nisani 7, Yesu atembea kutoka Yeriko hadi Bethania: w98 3/15 3-4
Nisani 8, Yesu afika Bethania: w00 9/15 16; w98 3/15 3-4
Nisani 9, mlo nyumbani kwa Simoni; aingia Yerusalemu: w00 9/15 16-17; w98 3/15 3-5
Nisani 10, Yesu asafisha hekalu, afundisha; Yehova asema: w00 9/15 17-18; w98 3/15 4-5
Nisani 11, huduma ya Yesu jijini Yerusalemu na katika ujirani wake: w00 9/15 18-19; w98 3/15 4-7
Nisani 12, Yesu akiwa faraghani pamoja na wanafunzi; Yuda apanga kumsaliti: w98 3/15 4, 7
Nisani 13, matayarisho ya Pasaka: w98 3/15 4, 7
Nisani 14: bm 22; w00 9/15 19-20; w99 3/15 3-9; w98 3/15 4, 7-9
Nisani 15, Pilato aruhusu walinzi walinde kaburi la Yesu: w99 3/15 7; w98 3/15 4
Nisani 16, Yesu afufuliwa: bt 12; bm 22; w99 3/15 7; w98 3/1 13
baada ya Nisani 16, Yesu awapa wafuasi wake utume: bt 7-8, 12
Sivani 6, kutaniko la Kikristo laanzishwa: bt 12; bm 24; w07 4/15 21-22; w98 3/1 13
m. 33-34, Stefano auawa: bt 12
towashi Mwethiopia abatizwa: bt 12
m. 34, Sauli wa Tarso awa Mkristo: bt 12
m. 34-36, Sauli ahubiri Damasko: bt 12
m. 36, Paulo aenda Yerusalemu kwa mara ya kwanza baada ya kuwa Mkristo: bt 12
Paulo amtembelea Kefa (Petro) jijini Yerusalemu (Ga 1:18): bt 12
Paulo apelekwa Kaisaria, kisha atumwa Tarso: w07 6/15 17
36, Kornelio awa Mkristo: bt 12, 69; bm 24
m. 41, Injili ya Mathayo yaandikwa: bt 12
maono ya Paulo kuhusu “mbingu ya tatu” (2Ko 12:2): bt 12; w00 7/15 27
43, Klaudio aanza kuteka sehemu ya kusini ya Uingereza: dp 138
m. 44, Agabo atabiri njaa (Mdo 11:28): bt 12
Yakobo (mwana wa Zebedayo) auawa: bt 12
Petro afungwa, aachiliwa kimuujiza: bt 12
44, Herode Agripa wa Kwanza afa: bt 12
m. 46, njaa iliyotabiriwa yaanza; Paulo na Barnaba wapeleka msaada Yerusalemu (Mdo 11:28; 12:25): bt 12, 76, 137
m. 47-48, safari ya kwanza ya umishonari ya Paulo: bt 12; bm 25; w08 5/15 31; w07 8/15 8
m. 49, suala la tohara lazuka Antiokia: bt 12, 104
mkutano Yerusalemu: bt 12
migawo ya kuhubiri katika maeneo mbalimbali (Ga 2:9): w05 10/15 12-14
Paulo ampinga Petro (Ga 2:11-14): bt 12
m. 49-52, safari ya pili ya umishonari ya Paulo: bt 12; bm 25; w08 5/15 31-32; w07 8/15 9
Barnaba na Marko wahubiri Kipro: bt 12
m. 49-50, Klaudio aagiza Wayahudi waondoke Roma: bt 12, 137
m. 50, Luka ajiunga na Paulo huko Troa: bt 12
maono ya Paulo kumhusu mwanamume Mmakedonia: bt 12
Paulo aenda Filipi: bt 12
kutaniko la Filipi laanzishwa: bt 12
kutaniko la Thesalonike laanzishwa: bt 12
Paulo aenda Athene: bt 12, 140
m. 50-52, Paulo aenda Korintho: bt 12, 148, 152, 154
kitabu cha Wagalatia chaandikwa: bt 12, 150; w08 8/15 26
kitabu cha Kwanza cha Wathesalonike chaandikwa: bt 12, 150; w08 9/15 29
m. 51, kitabu cha Pili cha Wathesalonike chaandikwa: bt 12, 150
m. 52-56, safari ya tatu ya umishonari ya Paulo: bt 12; bm 25; w08 5/15 32; w07 8/15 9-10
m. 52-55, Paulo aenda Efeso: bt 12
54, Nero aanza kutawala: bt 137
m. 55, kitabu cha Kwanza cha Wakorintho chaandikwa: bt 12; w08 7/15 26
Tito atumwa Korintho: bt 12
kitabu cha Pili cha Wakorintho chaandikwa: bt 12, 166; w08 7/15 26
m. 56, kitabu cha Waroma chaandikwa: bt 12; w08 6/15 29
Paulo amfufua Eutiko huko Troa: bt 12
Paulo na Luka wakaa kwa Filipo huko Kaisaria: bt 12
56, Paulo akamatwa Yerusalemu: bt 12
m. 56-58, Paulo awekwa kifungoni Kaisaria: bt 12
kitabu cha Luka chaandikwa: bt 12; w08 3/15 30
m. 58, Festo awa gavana badala ya Feliksi: bt 12
58, Herode Agripa wa Pili amsikiliza Paulo: bt 12
m. 59, Paulo aondoka Malta: bt 211
Paulo akatiza safari kwa siku tatu huko Sirakusa: w07 10/15 30
m. 59-61, Paulo afungwa Roma kwa mara ya kwanza: bt 12, 214
m. 60-61, kitabu cha Filemoni chaandikwa: bt 12, 212; w08 10/15 30
kitabu cha Waefeso chaandikwa: bt 12, 212
kitabu cha Wafilipi chaandikwa: bt 12, 212
kitabu cha Wakolosai chaandikwa: bt 12, 212
m. 60-65, kitabu cha Marko chaandikwa: bt 12
m. 61, kitabu cha Matendo chaandikwa: bt 12
kitabu cha Waebrania chaandikwa: bt 12, 212; w08 10/15 30
m. 61-64, kitabu cha Kwanza cha Timotheo chaandikwa: bt 12; w08 9/15 29
Tito abaki Krete: bt 12
kitabu cha Tito chaandikwa: bt 12; w08 10/15 30
k. 62, kitabu cha Yakobo chaandikwa: bt 12; bm 28
m. 62, Yakobo (ndugu ya Yesu) afa: bt 112
m. 62-64, kitabu cha Kwanza cha Petro chaandikwa: bt 12
Marko atumika pamoja na Petro: w10 3/15 8; bt 118
m. 64, kitabu cha Pili cha Petro chaandikwa: bt 12
m. 65, Paulo afungwa Roma kwa mara ya pili na kuuawa: bt 12, 214
kitabu cha Pili cha Timotheo chaandikwa: bt 12; w08 9/15 29; w03 1/1 28
Tito aenda Dalmatia: bt 12
66, Wayahudi waasi Milki ya Roma: bm 29
Sesho Galo ashambulia Yerusalemu, kisha aondoa majeshi: w07 4/1 9; w99 5/1 9-10; w96 6/1 15-16; w96 8/15 16, 18
67, Vespasiani aanza kuzuia uasi wa Wayahudi: w07 4/1 10
70, Yerusalemu laharibiwa na Waroma: bm 29; w07 4/1 10-11
96, kitabu cha Ufunuo chaandikwa: w09 1/15 30; bm 30
m. 100, Yohana afa: bm 30
m. 112, barua kutoka kwa Plini Mdogo kwa Trajani kuwahusu Wakristo: g 9/12 14; bt 26
122, Hadriani aanza kujenga ukuta nchini Uingereza: dp 138
m. 252, Baraza la Karthage laidhinisha ubatizo wa watoto wachanga: rs 308
286, Diokletiani aanza kutawala: g01 10/8 14
303, Diokletiani aamuru kwamba mahali pa kukutania pa Wakristo pabomolewe na Maandiko yateketezwe: g 12/11 5; g 11/07 12-13; w97 10/1 11
Kaisari Galeriasi aongoza myanyaso wa wote waliodai kuwa Wakristo: w12 6/1 18, 20-21
330, Konstantino afanya Bizantiamu (Konstantinopo) kuwa mji mkuu: g01 10/8 12, 14
382, Yerome aanza kutafsiri Vulgate ya Kilatini: w09 4/1 20; w97 8/15 10
395, Milki ya Roma yagawanywa kwa kudumu kuwa ya Mashariki na ya Magharibi: g01 10/8 14
868, vitabu vya kwanza kuchapwa (China): w10 7/1 26
1054, mfarakano unaodumu kati ya kanisa la Ugiriki na Kanisa Katoliki la Roma: g01 10/8 14-15
1079, Papa Gregory wa Saba asisitiza kwamba watu “wasio na akili nyingi” hawapaswi kuwa na Biblia: g 12/11 6
1096, Krusedi ya Kwanza (Vita Vitakatifu): g97 10/8 13-14
1184, Baraza la Kuhukumu Wazushi laanzishwa: g97 5/8 18
1199, Papa Innocent wa Tatu atangaza kwamba wote wanaotafsiri au kuzungumzia Biblia ni wazushi: g 12/11 6
1204, Konstantinopo laporwa na wapiganaji wa vita vitakatifu (Krusedi ya Nne): g01 10/8 13-15
1209, mapambano (krusedi) dhidi ya Waalbi: g98 2/8 21
1231, Baraza la Kuwahukumu Wazushi laanzishwa Italia na Ufaransa katika enzi ya kati: g98 12/8 13
m. 1382, tafsiri ya Biblia ya Wycliffe yatolewa (Kiingereza): w09 6/1 9
1453, Waturuki wateka Konstantinopo: g01 10/8 14-15
m. 1455, Gutenberg achapa Vulgate ya Kilatini: w97 9/15 26
1478, Baraza la Kuhukumu Wazushi la Hispania laanzishwa: g97 5/8 18
1497-1499, Vasco da Gama, safari ya kwenda India: g03 8/22 12, 14; g99 3/22 24-26
1516, Erasmusi achapisha Maandiko ya Kikristo katika Kigiriki yaliyotumiwa na watafsiri: w97 9/15 26-27
1525, Tyndale akamilisha tafsiri ya Maandiko ya Kikristo katika Kiingereza: g 12/11 22
1526, tafsiri ya Tyndale ya Maandiko ya Kikristo yasambazwa Uingereza: w97 9/15 27
1530, Tyndale atafsiri vitabu vitano vya kwanza vya Biblia katika Kiingereza: w97 9/15 28
1535, Coverdale atoa Biblia nzima katika Kiingereza: w12 6/1 10; g 12/11 22
1536, Calvin achapisha kitabu Institutes of the Christian Religion: w10 9/1 19
Tyndale auawa: w09 6/1 10; w97 9/15 29
1537, Matthew’s Bible yachapishwa huko Antwerp, Ubelgiji: w12 6/1 10-11
tafsiri ya Coverdale yachapishwa Uingereza: w12 6/1 10
1538, Mfalme Henri wa Nane aamuru Biblia iwekwe katika makanisa yote nchini Uingereza: w97 9/15 29
1539, Great Bible (Kiingereza) yatolewa: w12 6/1 11; g 12/11 22
1542, Baraza la Kuwahukumu Wazushi laanzishwa: g98 12/8 12-13; g97 5/8 18-19
1545-1563, Baraza la Trent: g 12/11 7
1559, Papa Paulo wa Nne awakataza watu wasiwe na Biblia katika lugha za kawaida: g 12/11 7
1560, Geneva Bible (Biblia ya Geneva) yachapishwa: g 12/11 22; w10 9/1 20-21
1568, Bishops’ Bible (Kiingereza) yatolewa: g 12/11 22-23
1576, Geneva Bible (Kiingereza) yachapishwa nchini Uingereza: g 12/11 22
1588, wanamaji wa Uingereza washinda Manowari za Hispania: g 1/10 20-21; g 8/07 27; dp 138
1618, Vita vya Miaka Thelathini vyaanza: w04 3/15 20-21
1648, Mkataba wa Amani wa Westfalia wakomesha Vita vya Miaka Thelathini: w04 3/15 20-23
1763, Milki ya Uingereza yapata mamlaka: w12 6/15 15; g 8/07 27; dp 138, 140
1804, Chama cha Biblia cha Uingereza na Nchi za Kigeni chaanzishwa: w97 10/15 9
1815, Napoléon ashindwa katika pigano la Waterloo, Ubelgiji: g 6/11 25; g99 3/22 16
1818/1819, Robert Morrison amaliza kutafsiri Biblia ya Kichina: w09 6/1 11
1835, Adoniram Judson amaliza kutafsiri Biblia ya Kiburma: w09 6/1 11
1844, Wafuasi wa Miller watarajia Yesu angerudi (Oktoba 22 [22/10]): w97 7/15 25
1852, Russell azaliwa: jv 42
m. 1868, Russell aanza kuchunguza Maandiko kwa makini: w06 1/15 24
1870, Russell aanzisha kikundi kwa kusudi la kujifunza Biblia: w06 8/15 13; jv 44, 236
1877, Barbour na Russell wachapisha kitabu Three Worlds, and the Harvest of This World: jv 47, 575
Russell achapisha kijitabu The Object and Manner of Our Lord’s Return: jv 47, 132, 575
1879, Russell aacha kugharimia uchapishaji wa Herald of the Morning: jv 47-48, 131
Zion’s Watch Tower lachapishwa kwa mara ya kwanza: w12 8/15 7; jv 48
1881, trakti za kwanza zachapishwa: jv 718
shirika la Zion’s Watch Tower Tract Society laanzishwa: jv 210, 229, 576
mwito wa kutafuta wahubiri 1,000: w12 8/15 5
utumishi wa wakati wote (wa makolpota) waanza: jv 209-210, 405-406, 558
vikundi vinavyofanya mikutano vyaombwa kujulisha Shirika la Watch Tower: jv 205
kitabu Food for Thinking Christians (Chakula kwa Wakristo Wenye Kufikiri) chachapishwa: jv 123, 210, 404
1884, shirika la Zion’s Watch Tower Tract Society laandikishwa: w09 5/1 25; jv 210, 229, 576
1886, The Divine Plan of the Ages (Millennial Dawn, Kitabu cha Kwanza) chatolewa: jv 52, 576
1889, ujenzi wa Nyumba ya Biblia huko Allegheny, Pennsylvania, wamalizika: jv 54
1890, Shirika la Watch Tower laanza uchapishaji wa Biblia kwa kuchapisha Rotherham’s New Testament, Chapa ya Pili: jv 605
1891, mkutano wa kwanza wa Wanafunzi wa Biblia ulioitwa kusanyiko (Allegheny, Pennsylvania): jv 254
Russell asafiri ng’ambo: yb06 68; jv 406
1894, wasemaji watumwa kutoa hotuba makutanikoni: jv 204, 222
1895, Vikundi vya Mapambazuko kwa Ajili ya Funzo la Biblia vyaanzishwa: jv 237
1896, jina Zion’s Watch Tower Tract Society labadilishwa kuwa Watch Tower Bible and Tract Society: jv 229, 576, 603
1898, shirika la Tower Publishing Company linamilikiwa na Shirika la Watch Tower Bible and Tract Society: jv 576
mpango wa kuwa na makusanyiko katika sehemu mbalimbali waanzishwa: jv 255
1900, ofisi ya tawi ya kwanza yafunguliwa (London, Uingereza): g00 12/22 17; jv 210
1901, American Standard Version (Kiingereza) yachapishwa: g 12/11 23
1903, trakti zasambazwa nyumba kwa nyumba: w01 7/15 12
1904, mahubiri ya Russell yachapishwa katika magazeti ya kila siku: jv 58
1905, Einstein achapisha hati zilizobadili maoni ya watu kuhusu ulimwengu: g05 9/8 20-21
1908, kigari cha Dawn kilitengenezwa ili kubebea mabuku ya Millennial Dawn: w12 2/15 32
1909, makao makuu ya Shirika la Watch Tower yahamishiwa Brooklyn: w09 5/1 22-24; w09 8/15 23; jv 59
shirika la Peoples Pulpit Association laanzishwa: jv 229
1912, Russell na wale walioshirikiana naye waanza kutengeneza “Photo-Drama of Creation” (sinema kuhusu uumbaji): jv 59-60
1914, onyesho la kwanza la sinema na picha kuhusu uumbaji (“Photo-Drama of Creation”): jv 60, 422
Dyuki Mkuu wa Austria-Hungaria auawa: g 8/09 19-21
shirika la International Bible Students Association laandikishwa kisheria: jv 229
1915, kazi ya uchungaji (sehemu ya huduma ya shambani) yaanza: jv 559
1916, Russell afa: jv 63-64
1917, Rutherford achaguliwa kuwa msimamizi wa Shirika la Watch Tower: jv 65
makolpota (watumishi wa wakati wote) na wafanyakazi wa uchungaji (waliofanya ziara za kurudia) wagawiwa maeneo: jv 211
kitabu The Finished Mystery chatolewa: re 8; jv 67
wakurugenzi wanne wasiowekwa rasmi wampinga Rutherford: jv 66-68
1918, Rutherford awekwa rasmi kuwa msimamizi wa Shirika la Watch Tower: jv 68
hotuba “Mamilioni” yatolewa kwa mara ya kwanza: jv 648, 719
mafua ya Hispania yaanza: g05 12/22 4
trakti Habari za Ufalme Na. 1 yachapishwa: jv 69-70
Rutherford na wawakilishi wengine wa Shirika la Watch Tower wafungwa: w08 9/15 8; jv 69-75, 650-654
Rutherford na wawakilishi wengine wa Shirika la Watch Tower wahukumiwa: jv 69, 652-653
makao makuu yahamishiwa Pittsburgh: jv 71, 577
Vita vya Kwanza vya Ulimwengu vyaisha: w09 7/15 24; g05 12/22 4
ripoti ya utumishi: jv 424-425
1919, Rutherford achaguliwa upya kuwa msimamizi wa Shirika la Watch Tower: jv 72-74
Rutherford na wawakilishi wengine wa Shirika la Watch Tower waachiliwa kutoka gereza la Atlanta: jv 75
Rutherford na wawakilishi wengine wa Shirika la Watch Tower waachiliwa kwa dhamana: w08 9/15 8; jv 75, 425, 652
hukumu juu ya Rutherford na wawakilishi wengine wa Shirika la Watch Tower yafutwa, agizo la kufanya kesi upya latolewa: jv 652, 654
Mkataba wa Versailles watiwa sahihi: jv 77
kusanyiko la kwanza, Cedar Point, Ohio: w12 9/15 29; re 169-170, 243; jv 76-77
gazeti The Golden Age latangazwa: jv 77
gazeti Golden Age latolewa: jv 212
makao makuu ya Wanafunzi wa Biblia yarudishwa Brooklyn: jv 76, 577-578
wakurugenzi wa utumishi wawekwa: w06 2/15 26-27; w02 7/1 16; ip-2 317; jv 212, 637
jarida Bulletin (Taarifa Rasmi) lachapishwa kwa mara ya kwanza: jv 246-247, 720
ripoti za utumishi zatumwa kila juma kwenye makao makuu: jv 212
1920, Mkataba wa Versailles waanza kutumika: jv 77
toleo la kwanza la Mnara wa Mlinzi lililochapwa kwa mashine ya Shirika la Watch Tower: w05 12/1 11; jv 578
ofisi ya tawi ya Rumania yafunguliwa: yb06 76, 80
toleo la kwanza la Golden Age lililochapwa kwa mashine ya Shirika la Watch Tower: jv 578
mashtaka dhidi ya Rutherford na wawakilishi wengine wa Shirika la Watch Tower yafutwa: w08 9/15 8; jv 654
1921, kazi ya uchungaji yaachwa: jv 559
1922, hotuba ya kwanza ya Rutherford iliyosambazwa kwa redio: jv 80
kiwanda cha uchapaji cha Shirika la Watch Tower chahamishiwa kwenye 18 Concord Street, Brooklyn, New York: w05 12/1 11
Shirika la Watch Tower laanza kuchapa vitabu: w05 12/1 9; jv 580
makala “Maswali ya Kiberoya” zachapishwa kwa ukawaida katika gazeti la Mnara wa Mlinzi: jv 252
kusanyiko la pili, Cedar Point, Ohio: w12 9/15 29; re 134, 172-173; jv 77-78, 259-260
1924, kituo cha redio cha WBBR chaanza kusambaza ujumbe: jv 80
1926, Diaglott, Biblia ya kwanza kuchapwa kwa mashine za Shirika la Watch Tower: jv 606
jina la Yehova limekaziwa tangu mwaka huu: jv 152
mapilgrimu (wasemaji wasafiri) wapewa madaraka mengi zaidi: jv 223
Mikutano ya Wafanyakazi ya kila juma: jv 247
ndugu watiwa moyo wahubiri Jumapili (Siku ya Yenga) na kuwaachia watu vitabu vya funzo: jv 563-564, 638, 690
1927, kiwanda cha uchapaji cha Shirika la Watch Tower chahamishiwa kwenye 117 Adams Street, Brooklyn, New York: w05 12/1 11
Jumapili (Siku ya Yenga) yatengwa kuwa siku bora ya utumishi: w06 2/15 27
wazee Wakristo wasiohubiri nyumba kwa nyumba waondolewa: jv 564
1928, mapilgrimu wabadilishwa jina na kuitwa waelekezi wa utumishi wa kimkoa: jv 223
Mikutano ya Wafanyakazi ya kila juma: jv 247
1931, jina Mashahidi wa Yehova lakubaliwa: w12 9/15 29; w06 2/15 27; jv 79, 82
jina la Yehova kwenye jalada la Mnara wa Mlinzi: jv 124
1932, halmashauri za utumishi zachaguliwa kwa kura: w06 2/15 28; w06 5/15 24; w02 7/1 16; ip-2 317; jv 214, 638-639
kuwachagua wazee na mashemasi kwa kura kwakomeshwa: w06 2/15 27-28; w06 5/15 24; w02 7/1 16; ip-2 317; jv 213, 638-639
Mikutano ya Utumishi badala ya Mikutano ya Sala, Sifa na Ushuhuda: jv 247
neno “painia” lilianza kutumiwa badala ya neno “kolpota”: w12 5/15 31
wakurugenzi wa halmashauri za utumishi wawekwa rasmi: w06 5/15 24; jv 638-639
1933, kadi za kutoa ushahidi zatumiwa: jv 564
vinanda (santuri) vyatumiwa katika huduma ya shambani: jv 565
1934, Mashahidi kutoka sehemu zote za ulimwengu waiandikia serikali ya Hitler barua: g03 1/8 31; jv 315, 552, 693-694
vinanda (santuri) vyatumiwa katika huduma ya shambani: jv 564-565
k. 1935, watiwa mafuta waanza kufufuliwa: w09 1/15 31
1935, Ujerumani yawapiga marufuku Bibelforscher (Wanafunzi wa Biblia): w01 3/15 9; jv 442; w96 1/15 4
kusanyiko la Washington, D.C.: w12 9/15 29; re 120, 122; jv 83-84, 166-167, 169-170, 261, 266-267
jengo la kwanza kuitwa “Jumba la Ufalme”: jv 319
kazi ya kukusanya “umati mkubwa” yakaziwa: jv 443-444
ripoti ya utumishi: jv 443
1936, kitabu Riches (Utajiri) chatumiwa katika mafunzo ya Biblia: jv 721
mabango yatumiwa: jv 566
waelekezi wa utumishi wa kimkoa wabadilishwa jina na kuitwa watumishi wa kimkoa: jv 223
1937, Mashahidi waanza kutumia vinanda (santuri) wanapohubiri nyumba kwa nyumba: jv 84-85, 565
mateso ya Wanazi yafichuliwa: jv 449
mipango ya kuwa na mapainia wa pekee, “marudio,” na “mafunzo ya kigezo” yaanzishwa: km 7/06 3; jv 85
1938, kuimba mikutanoni kwasimamishwa: w97 2/1 26; jv 240
mabango yenye maandishi “Dini Ni Mtego na Hila”: jv 566-568
makusanyiko ya kanda za dunia (makusanyiko ya mzunguko) yafanywa kwa mara ya kwanza: km 8/10 1; jv 721
mikutano ya vijana pekee yakomeshwa: jv 246
watumishi wa kanda za dunia waanza kutembelea makutaniko: jv 223
watumishi wa kimkoa watumika kwenye makusanyiko: jv 223
watumishi wote wa kutaniko wawekwa rasmi kupatana na Maandiko: w06 2/15 28; w06 5/15 24; w02 7/1 17; ip-2 317; w99 2/1 18; jv 217-221, 639
“Wayonadabu” waalikwa kuhudhuria Ukumbusho: jv 243
1939, jina Peoples Pulpit Association labadilishwa kuwa Watchtower Bible and Tract Society, Inc.: jv 229
1940, aina mpya ya vinanda (santuri) vyatumiwa katika huduma ya shambani: jv 565
magazeti yasambazwa barabarani: jv 456, 567, 569
Wakati wa Kutoa Ushahidi kwa “Uhodari” : w12 2/15 9
1941, nchi za Japani na Marekani zaingia katika Vita vya Pili vya Ulimwengu: g 12/08 12
1942, Rutherford afa: jv 89-90
Knorr awekwa kuwa msimamizi wa Shirika la Watch Tower: w03 11/1 21-22; jv 90-92
Mafunzo ya Hali ya Juu ya Huduma ya Kitheokrasi yaanzishwa Betheli ya Brooklyn: w03 11/1 22; jv 94, 568
King James Version, Biblia nzima ya kwanza iliyochapwa kwa mashine za Shirika la Watch Tower: jv 93, 607
ilitabiriwa kwamba shirika fulani la mataifa lingetokea tena: re 246-248; jv 192
pendekezo la kuanzisha Shule ya Gileadi: jv 94-95, 522
watumishi wa akina ndugu watembelea makutaniko: w03 11/1 22; jv 93, 223
majina ya waandikaji wa vitabu vya Mashahidi wa Yehova hayajulikani: jv 146
1943, Shule ya Gileadi yaanzishwa: jv 95, 523-524
Shule ya Huduma ya Kitheokrasi yaanzishwa makutanikoni: jv 94, 248, 568-569
Mashahidi wa Yehova watetewa katika Mahakama Kuu nchini Marekani na Australia: jv 721
1944, kuimba mikutanoni kwaanzishwa tena: w97 2/1 26-27; jv 240
mkataba wa Shirika la Watch Tower warekebishwa: w01 1/15 28, 30; jv 228-229
1945, kampeni ya mikutano ya watu wote yaanza: jv 249
Vita vya Pili vya Ulimwengu vyaisha: jv 95
shirika la Umoja wa Mataifa laanzishwa: re 248; jv 95
ripoti ya utumishi: jv 461
1946, mradi wa kutafsiri Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo yapendekezwa: w06 2/15 29; jv 607
wamishonari waandaliwa makao: jv 529
watumishi wa kimkoa wabadilishwa jina na kuitwa watumishi wa wilaya: jv 223
1947, kazi ya kutafsiri Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo yaanza (Kiingereza): w06 2/15 29; jv 607
1948, Taifa la Israeli (ya siku hizi) laanzishwa: w10 11/1 27
ofisi ya tawi ya Zambia yafunguliwa: yb06 175
watumishi wa akina ndugu wabadilishwa jina na kuitwa watumishi wa mzunguko: jv 223
1949, kazi ya kutafsiri Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo yakamilika: jv 607
jengo la uchapaji lenye orofa tisa la Shirika la Watch Tower lajengwa huko Brooklyn, New York: w05 12/1 11
1950, Vita vya Korea vyaanza: g 12/08 13; jv 98
Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo yatolewa (Kiingereza): w12 9/15 30; w06 2/15 29; jv 99, 262, 264, 609
1952, mpango wa kuwatenga na ushirika Wakristo wasiotubu waanzishwa: w06 5/15 25
1953, mpango wa kuwazoeza ndugu kuhubiri nyumba kwa nyumba waanzishwa: jv 100, 569
Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kiebrania, Sehemu ya Kwanza, yatolewa (Kiingereza): w06 2/15 29
1955, jina Watch Tower Bible and Tract Society labadilishwa kuwa Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania: jv 229
1956, jengo jipya la uchapaji la Shirika la Watch Tower lajengwa kwenye 77 Sands Street, Brooklyn, New York: w05 12/1 11
jina Watchtower Bible and Tract Society, Inc., labadilishwa kuwa Watchtower Bible and Tract Society of New York, Inc.: jv 229
mpango wa waangalizi wa eneo la dunia waanzishwa: jv 101, 227
1957, kituo cha redio (WBBR) chauzwa: jv 572
1958, Mkusanyiko wa Kimataifa wa Mapenzi ya Mungu, kusanyiko kubwa kuliko yote: w01 6/1 19
Shule ya Huduma ya Ufalme yatangazwa: jv 102
1959, Shule ya Huduma ya Ufalme yaanzishwa: w06 5/15 24; jv 102, 231
1960, kazi ya kutafsiri Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya yakamilika (Kiingereza): w06 2/15 29; jv 609
1961, Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya yatolewa (Kiingereza): w06 2/15 29; jv 609-610
1965, Jumba la kwanza la Kusanyiko: jv 328, 722
1967, jengo lingine la uchapaji la Shirika la Watch Tower lenye orofa kumi lajengwa, Brooklyn, New York: w05 12/1 11
1969, The Kingdom Interlinear Translation of the Greek Scriptures yatolewa: jv 610
1971, idadi ya ndugu wanaotumika kwenye Baraza Linaloongoza yaongezwa: jv 233
ndugu wa Baraza Linaloongoza wapokezana uenyekiti: w01 1/15 29; jv 106-107, 233-234
ndugu wa Baraza Linaloongoza wapokezana zamu ya kuongoza ibada ya asubuhi kwenye makao makuu: jv 234
1972, mabaraza ya wazee yawekwa: w06 2/15 28; w02 7/1 17; ip-2 317; jv 106, 234
mpango wa kuwapendekeza, kisha kuwaweka rasmi wazee Wakristo na watumishi wa huduma: w06 5/15 24
1973, kiwanda cha uchapaji cha Shirika la Watch Tower chajengwa kwenye Mashamba ya Watchtower, Wallkill, New York: w05 12/1 11
1975, halmashauri za Baraza Linaloongoza zakubaliwa: jv 109, 234
miaka elfu sita tangu mwanadamu alipoumbwa: jv 104, 633
ripoti ya utumishi: jv 501
1976, Halmashauri za Baraza Linaloongoza zaanza kufanya kazi: w06 2/15 28; jv 109
Halmashauri za Tawi zaanza kufanya kazi: jv 109, 235, 544
1977, Knorr afa: jv 109
Franz awekwa kuwa msimamizi wa Shirika la Watch Tower: jv 109
mpango wa kujifunza vitabu viwili pamoja na wapya wote: jv 115
Shule ya Utumishi wa Painia yaanzishwa: jv 113, 300
1985, mpango wa Utumishi wa Kimataifa waanzishwa: jv 723
1986, Halmashauri za Ujenzi za Kimkoa zawekwa: jv 723
1987, Shule ya Mazoezi ya Kihuduma yaanzishwa: jv 113, 300
1992, wasaidizi wa halmashauri za Baraza Linaloongoza wateuliwa: w06 2/15 28; jv 235
Franz afa: jv 111
1993, Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yaamua kwamba Shahidi Mgiriki ana haki ya kuhubiri: bt 200
1999, Shule ya Waangalizi Wanaosafiri yaanzishwa: w99 11/15 12
Baraza Linaloongoza laongezewa ndugu wanne: w00 1/1 29
2000, baraza la wakurugenzi la Shirika la Watch Tower labadilishwa: w02 7/1 17; w01 1/15 31; ip-2 317-318
mabishano kuhusu nchi ya kwanza kuingia katika mwaka wa 2000: g97 9/22 29
matayarisho na utabiri kuhusu mwaka wa 2000: w99 11/1 3-4
2001, milenia ya tatu W.K. yaanza: w99 11/1 4-5; g99 12/8 5; g97 5/22 28-29; g97 9/22 29
majengo ya World Trade Center yaporomoka: g02 1/8 3-8, 10-12
2002, Mahakama Kuu ya Marekani yaamua kwamba Mashahidi wana haki ya kuhubiri bila kibali: g03 1/8 3-11
yatangazwa kwamba uchapaji wote wa Shirika la Watch Tower huko Marekani utafanywa Wallkill: w05 12/1 9-10; yb05 22
2003, “Mwaka wa Biblia” (Austria, Ufaransa, Ujerumani, Uswisi): g03 9/22 31
2004, uchapaji wote wa Shirika la Watch Tower nchini Marekani wafanywa Wallkill, New York: w05 12/1 11; yb05 13, 22-24
2005, kiwanda kipya cha uchapaji cha Shirika la Watch Tower chawekwa wakfu Wallkill: yb06 13, 28, 30; w05 12/1 8-12
2006, Amkeni! laanza kutolewa mara moja kwa mwezi na kukazia Biblia zaidi: g 1/06 3-4; km 3/05 1
2007, Poromoko Kubwa la Uchumi laanza: g 9/11 3
2008, toleo la kwanza la watu wote na la funzo la Mnara wa Mlinzi: w08 1/1 3; w08 1/15 3; km 7/07 1
Shule ya Wazee wa Kutaniko yaanzishwa: w10 6/15 5
2009, Funzo la Biblia la Kutaniko lafanywa pamoja na Shule ya Huduma ya Kitheokrasi na Mkutano wa Utumishi: yb09 4; km 10/08 1, 7
mpango wa kutenga siku moja kila mwezi kwa ajili ya kuanzisha mafunzo ya Biblia waanzishwa: km 12/08 1
“mwangalizi-msimamizi” aitwa “mratibu wa baraza la wazee”: km 11/08 3
Shule ya Wazee wa Kutaniko yapanuliwa: w10 6/15 5
2010, Shule ya Biblia ya Wenzi wa Ndoa Wakristo yatangazwa: w11 8/15 21
Shule ya Mazoezi ya Kihuduma Yabadilishwa na kuitwa Shule ya Biblia ya Ndugu Waseja: yb12 13; w11 8/15 21
ziara za uchungaji zapangwa kwa ajili ya waangalizi wa wilaya na wake zao: w11 8/15 21
2011, toleo la kwanza la funzo la Mnara wa Mlinzi katika Kiingereza rahisi: w11 7/15 3; w11 8/15 21
marekebisho kuhusiana na Shule ya Gileadi: w12 8/1 28; w12 8/15 19; yb12 15-16
mahubiri ya “badala” kuitwa mahubiri ya “hadharani”: km 12/11 1
kuanza kwa Shule ya Biblia ya Wenzi wa Ndoa Wakristo: yb12 13-14
2012, maoni ya kwamba ulimwengu utakwisha katika mwaka wa mwisho wa kalenda ya Wamaya: w11 12/1 10
mapainia wa pekee waongezeka: w12 8/15 19
Shule ya Biblia ya Wenzi wa Ndoa Wakristo itafanywa katika nchi fulani zilizochaguliwa: w12 8/15 19
Tovuti ya jw.org yafanyiwa marekebisho: km 12/12 3
2013, Amkeni! imeboreshwa: g 12/12 32
m. 636c. 636, Isidore wa Seville adai kwamba Kiebrania, Kigiriki, na Kilatini ndizo lugha ambazo Biblia inapaswa kutafsiriwa: g 12/11 6