Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w08 9/1 uku. 24
  • Yesu Awashangaza Wasikilizaji Wake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yesu Awashangaza Wasikilizaji Wake
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Habari Zinazolingana
  • Uharibifu wa Sodoma na Gomora
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Yesu Anawaponya Watu Kimuujiza
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Yesu Ashinda Vishawishi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Petro Amkana Yesu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
w08 9/1 uku. 24

Kwa Ajili ya Vijana Wetu

Yesu Awashangaza Wasikilizaji Wake

Maagizo: Fanya zoezi hili katika mazingira matulivu. Unaposoma maandiko, jiwazie ukiwa katika matukio yanayozungumziwa. Wazia kikao. Sikia sauti. Hisi kama wahusika wakuu wanavyohisi. Wazia kwamba masimulizi haya ni halisi kabisa.

CHUNGUZA TUKIO HILI.—SOMA LUKA 2:41-47.

Unafikiria ni mambo ya aina gani yaliyokuwa yakizungumziwa kama inavyofafanuliwa kwenye mstari wa 46?

․․․․․

CHIMBA ZAIDI.

Unafikiria ni kwa nini Yesu angeweza kuzungumza na viongozi wa kidini akiwa na umri mchanga hivyo? Je, ni kwa sababu tu alikuwa mkamilifu, au kulikuwa na sababu nyingine?

․․․․․

CHUNGUZA TUKIO HILI.—SOMA LUKA 2:48-52.

Unafikiri Yesu alikuwa na mtazamo gani alipouliza: “Kwa nini mlilazimika kunitafuta?”

․․․․․

wa nini tunaweza kuwa na hakika kwamba Yesu hakuzungumza na wazazi wake kwa kejeli au kwa kukosa heshima?

․․․․․

CHIMBA ZAIDI.

Kwa nini haishangazi kwamba Yosefu na Maria walihangaika?

․․․․․

Ingawa Yesu alikuwa mkamilifu, kwa nini alihitaji kuendelea kujitiisha kwa wazazi wake?

․․․․․

Je, unafikiri kwamba inawezekana Yesu aliaibika kusahihishwa mbele ya watu waliovutiwa naye?

․․․․․

TUMIA MAMBO ULIYOJIFUNZA. ANDIKA MAMBO ULIYOJIFUNZA KUHUSU . . .

Kujitiisha.

․․․․․

Umuhimu wa kujipatia ujuzi wa Biblia ukiwa kijana.

․․․․․

NI MAMBO GANI KATIKA SIMULIZI HILI LA BIBLIA AMBAYO YAMEKUGUSA MOYO SANA, NA KWA NINI?

․․․․․

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki