Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w23 Aprili uku. 32
  • Dokezo la Kujifunza

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Dokezo la Kujifunza
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Je, unanufaika kutokana na ufafanuzi wa mistari ya Biblia unaopatikana kwenye Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova?
  • Je, Unatumia JW Library?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Kifaa Kipya cha Kufanyia Utafiti
    Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Dokezo la Kujifunza
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Tumia Vifaa Vyetu vya Utafiti
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
w23 Aprili uku. 32

Dokezo la Kujifunza

Je, unanufaika kutokana na ufafanuzi wa mistari ya Biblia unaopatikana kwenye Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova?

Ufafanuzi huo unaweza kukusaidia kuchimba zaidi katika Neno la Mungu. Huenda ukatia ndani habari kuhusu historia ya mstari wa Biblia, kwa nini uliandikwa, ulimhusu nani, au maana ya maneno au mafungu hususa ya maneno.

Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO na programu ya JW Library® zinakuwezesha kupata marejeo ya Mwongozo wa Utafiti moja kwa moja kutoka kwenye mstari wa Biblia. Unaweza kupata marejeo hayo kwenye safu ya habari za utafiti ya tafsiri za Biblia zinazopatikana.

Unapotumia marejeo hayo, zingatia tarehe. Makala za karibuni zaidi hutokea mwanzoni. Makala za zamani zilizo chini kwenye orodha, huenda zikawa na uelewaji ambao sasa umerekebishwa.

  • Marejeo ya mstari wa Biblia ya Mwongozo wa Utafiti hupatikana moja kwa moja kwenye Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO.

  • Ili kupata marejeo kwenye JW Library, pakua Mwongozo wa Utafiti kisha usasishe toleo la karibuni linapopatikana. Unaweza kufanya hivyo kwa kutumia kitufe kilicho juu ya safu ya habari za utafiti ya sura yoyote katika Biblia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki