6 Mwishowe akaweka katika mkono wa Yosefu vitu vyake vyote,+ wala hakujua kilichokuwa chake ila mkate aliokuwa akila. Pia, Yosefu akakua akawa mwenye umbo zuri na mwenye sura ya kupendeza.
10 naye akamkomboa kutoka katika dhiki zake zote na kumpa neema na hekima machoni pa Farao mfalme wa Misri. Naye akamweka aongoze Misri na nyumba yake yote.+