Kutoka 3:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Na kila mwanamke atamwomba jirani yake na mwanamke mgeni aliye katika nyumba yake, vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na nguo za kujitanda, nanyi mtawatwika wana wenu na binti zenu; nanyi mtawaacha Wamisri bila chochote.”+ Zaburi 105:37 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 37 Naye akaanza kuwatoa nje wakiwa na fedha na dhahabu;+Na katikati ya makabila yake hapakuwa na yeyote mwenye kujikwaa.
22 Na kila mwanamke atamwomba jirani yake na mwanamke mgeni aliye katika nyumba yake, vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na nguo za kujitanda, nanyi mtawatwika wana wenu na binti zenu; nanyi mtawaacha Wamisri bila chochote.”+
37 Naye akaanza kuwatoa nje wakiwa na fedha na dhahabu;+Na katikati ya makabila yake hapakuwa na yeyote mwenye kujikwaa.