-
Ezekieli 1:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Nami nikaona kitu kama mng’ao wa mchanganyiko wa dhahabu na fedha,+ kinachoonekana kama moto kuzunguka pande zote za ndani,+ kuanzia kuonekana kwa kiuno chake kwenda juu; na kuanzia kuonekana kwa kiuno chake kwenda chini niliona kitu kinachoonekana kama moto, naye alikuwa na mwangaza kuzunguka pande zote.
-