Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 4:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kisha akasema: “Itupe chini.” Basi akaitupa chini, nayo ikawa nyoka;+ na Musa akaanza kumkimbia.

  • Kutoka 4:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kisha Yehova akamwambia tena: “Tia mkono wako, tafadhali, ndani ya mkunjo wa juu wa vazi lako.” Basi akautia mkono wake ndani ya mkunjo huo. Alipouchomoa, tazama, mkono wake ulikuwa umepatwa na ukoma kama theluji!+

  • Kutoka 4:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Hata hivyo, itakuwa kwamba, ikiwa hawataziamini ishara hizo mbili wala kuisikiliza sauti yako,+ basi utachukua maji kutoka katika Mto Nile na kuyamwaga kwenye nchi kavu; nayo maji utakayochukua kutoka katika Mto Nile hakika yatakuwa, ndiyo, kwa kweli yatakuwa damu juu ya nchi kavu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki