27“Nawe utafanya madhabahu ya mbao za mshita, mikono mitano urefu wake na mikono mitano upana wake. Madhabahu+ hiyo itakuwa mraba, na kimo chake kitakuwa mikono mitatu.
36 Kisha akalifanyia nguzo nne za mshita na kuzifunika kwa dhahabu, vibanio vyake vikiwa vya dhahabu, na kutengeneza vikalio vinne vya fedha kwa ajili yake.+