-
Kutoka 7:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Kwa hiyo Musa na Haruni wakaingia ndani kwa Farao na kufanya sawasawa na vile ambavyo Yehova alikuwa ameamuru. Basi Haruni akaitupa chini fimbo yake mbele ya Farao na watumishi wake nayo ikawa nyoka mkubwa.
-