Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 27:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 “Nawe utafanya madhabahu ya mbao za mshita, mikono mitano urefu wake na mikono mitano upana wake. Madhabahu+ hiyo itakuwa mraba, na kimo chake kitakuwa mikono mitatu.

  • Kutoka 40:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Nawe utaitia mafuta madhabahu ya toleo la kuteketezwa na vyombo vyake vyote na kuitakasa madhabahu+ hiyo, nayo itakuwa madhabahu takatifu zaidi.+

  • Waebrania 13:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Sisi tuna madhabahu ambayo wale wanaofanya utumishi mtakatifu katika hema hawana mamlaka ya kula kutokana nayo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki