Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 38:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Naye akafanya madhabahu ya toleo la kuteketezwa kwa mbao za mshita. Mikono mitano urefu wake, na mikono mitano upana wake, ilikuwa mraba, na mikono mitatu kimo chake.+

  • 1 Wakorintho 10:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Tazameni kile ambacho ni Israeli kwa njia ya kimwili:+ Je, wale wanaokula dhabihu si washiriki pamoja na madhabahu?+

  • Waebrania 13:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Sisi tuna madhabahu ambayo wale wanaofanya utumishi mtakatifu katika hema hawana mamlaka ya kula kutokana nayo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki