Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 27:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 “Na kwa ajili ya lango la ua kutakuwa na kisitiri chenye urefu wa mikono 20, cha uzi wa bluu na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau na kitambaa chenye rangi nyekundu ya kochinili na kitani bora kilichosokotwa, kazi ya mfumaji,+ nguzo zake zikiwa 4 na vikalio vyake 4.+

  • Kutoka 38:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Nacho kisitiri cha lango la ua kilikuwa kazi ya mfumaji, cha uzi wa bluu na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau na kitambaa chenye rangi nyekundu ya kochinili na kitani bora kilichosokotwa,+ na urefu wake ulikuwa mikono 20, nacho kimo kotekote kilikuwa mikono 5 sawasawa na mapazia ya ua.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki