Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 11:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 na kila mzaliwa wa kwanza+ katika nchi ya Misri atakufa, tokea mzaliwa wa kwanza wa Farao anayeketi juu ya kiti chake cha ufalme hata mzaliwa wa kwanza wa mjakazi aliye kwenye jiwe la kusagia la mkononi na kila mzaliwa wa kwanza wa mnyama.+

  • Kutoka 12:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Na ikawa kwamba katikati ya usiku Yehova akampiga kila mzaliwa wa kwanza katika nchi ya Misri,+ kuanzia mzaliwa wa kwanza wa Farao anayeketi juu ya kiti cha ufalme kufikia mzaliwa wa kwanza wa mateka aliye gerezani, na kila mzaliwa wa kwanza wa mnyama.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki