Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 1:50
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 50 Naye Adoniya akaogopa kwa sababu ya Sulemani. Kwa hiyo akasimama, akaenda zake, akazishika pembe za madhabahu.+

  • 1 Wafalme 2:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Kisha Mfalme Sulemani akaambiwa: “Yoabu amekimbia akaenda katika hema la Yehova, na tazama, yupo kando ya madhabahu.” Kwa hiyo Sulemani akamtuma Benaya mwana wa Yehoyada, akisema: “Nenda, mshambulie!”+

  • 2 Wafalme 11:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Lakini Yehoyada kuhani akawaamuru wakuu wa mamia, watu waliochaguliwa wa jeshi,+ na kuwaambia: “Mwondoeni katikati ya vikosi, na yeyote atakayemfuata, auawe kwa upanga!”+ Kwa maana kuhani yule alikuwa amesema: “Asiuawe ndani ya nyumba ya Yehova.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki