- 
	                        
            
            Mambo ya Walawi 25:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
5 Mimea inayochipuka kutokana na mbegu zilizoanguka za mavuno yako hutavuna, na zabibu za mzabibu wako ambao haujakatwa matawi usikusanye. Kutakuwa na mwaka wa pumziko kamili kwa ajili ya nchi.
 
 -