-
Mathayo 6:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 “Kwa sababu hiyo nawaambia nyinyi: Komeni kuhangaikia nafsi zenu kuhusu ni nini mtakula au ni nini mtakunywa, au juu ya miili yenu kuhusu ni nini mtavaa. Je, nafsi haimaanishi zaidi ya chakula na mwili zaidi ya mavazi?
-