Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 8:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Naye Musa akamchinja+ na kuichukua damu+ yake na kuitia kwa kidole chake juu ya pembe za madhabahu kuizunguka pande zote na kuitakasa madhabahu kutokana na dhambi, lakini ile damu nyingine akaimimina kwenye msingi wa madhabahu, apate kuitakasa ili afanye upatanisho+ juu yake.

  • Mambo ya Walawi 16:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Naye atatoka nje kwenda kwenye madhabahu,+ iliyo mbele za Yehova, na kufanya upatanisho kwa ajili yake, naye atachukua sehemu ya damu ya yule ng’ombe-dume na sehemu ya damu ya yule mbuzi na kuitia juu ya pembe za ile madhabahu kuizunguka pande zote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki