-
Mambo ya Walawi 25:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Nayo sabato ya nchi itakuwa chakula kwa ajili yenu, kwa ajili yako na mtumwa wako na kijakazi wako na mfanyakazi wako wa kukodiwa na mkaaji anayekaa pamoja nawe, wale wanaokaa wakiwa wakaaji wageni pamoja nawe,
-