Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 25:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 “Hupaswi kuwa na aina mbili za mawe ya mizani katika mfuko wako,+ kubwa na dogo.

  • Kumbukumbu la Torati 25:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Utaendelea kuwa na kipimo cha uzito kilicho sahihi na cha haki. Utaendelea kuwa na kipimo cha efa kilicho sahihi na cha haki, ili siku zako ziwe ndefu kwenye nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe.+

  • Methali 20:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Aina mbili za mawe ya mizani na aina mbili za vipimo vya efa+—vyote viwili ni chukizo kwa Yehova.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki