Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 25
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Kumbukumbu la Torati 25:1

Marejeo

  • +Kum 17:8; 19:17; 21:5
  • +Kum 16:18; 17:9
  • +Kut 23:6; 2Nya 19:6; Met 17:15; 31:9; Isa 5:23

Kumbukumbu la Torati 25:2

Marejeo

  • +Met 19:29; Lu 12:48
  • +Met 10:13; 20:30; 26:3; Ebr 2:2

Kumbukumbu la Torati 25:3

Marejeo

  • +2Ko 11:24

Kumbukumbu la Torati 25:4

Marejeo

  • +Met 12:10; 1Ko 9:9; 1Ti 5:18

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    5/1/2012, uku. 30

    5/1/1989, uku. 17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 5/1 30

Kumbukumbu la Torati 25:5

Marejeo

  • +Mwa 38:8; Ru 4:5; Mk 12:19

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu, uku. 371

    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya, uku. 2027

Kumbukumbu la Torati 25:6

Marejeo

  • +Mwa 38:9; Ru 4:10, 14
  • +Hes 27:4; 2Sa 18:18

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu, uku. 371

Kumbukumbu la Torati 25:7

Marejeo

  • +Ru 4:4

Kumbukumbu la Torati 25:8

Marejeo

  • +Ru 4:6

Kumbukumbu la Torati 25:9

Marejeo

  • +Ru 4:7
  • +Hes 12:14
  • +Kum 25:5

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu, uku. 371

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2004, uku. 26

  • Fahirishi ya Machapisho

    w04 9/15 26

Kumbukumbu la Torati 25:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu, uku. 371

Kumbukumbu la Torati 25:11

Marejeo

  • +Law 21:20; Kum 23:1

Kumbukumbu la Torati 25:12

Marejeo

  • +Kum 19:13, 21

Kumbukumbu la Torati 25:13

Marejeo

  • +Met 11:1; 16:11; 20:10; Mik 6:11

Kumbukumbu la Torati 25:14

Marejeo

  • +Kut 16:36; Law 19:36; Eze 45:10; Amo 8:5

Kumbukumbu la Torati 25:15

Marejeo

  • +Kum 4:40; 1Pe 3:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    8/2022, uku. 27

Kumbukumbu la Torati 25:16

Marejeo

  • +Law 19:35; Ro 9:14

Kumbukumbu la Torati 25:17

Marejeo

  • +Kut 17:8; Hes 24:20

Kumbukumbu la Torati 25:18

Marejeo

  • +Kut 15:16; Zb 36:1; Ro 3:18

Kumbukumbu la Torati 25:19

Marejeo

  • +Yos 22:4
  • +Kut 17:14; 1Sa 14:48; 15:3; 1Nya 4:43; Est 3:1; 7:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Igeni, uku. 144

    Mnara wa Mlinzi,

    1/1/2012, uku. 29

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 1/1 29

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Kum. 25:1Kum 17:8; 19:17; 21:5
Kum. 25:1Kum 16:18; 17:9
Kum. 25:1Kut 23:6; 2Nya 19:6; Met 17:15; 31:9; Isa 5:23
Kum. 25:2Met 19:29; Lu 12:48
Kum. 25:2Met 10:13; 20:30; 26:3; Ebr 2:2
Kum. 25:32Ko 11:24
Kum. 25:4Met 12:10; 1Ko 9:9; 1Ti 5:18
Kum. 25:5Mwa 38:8; Ru 4:5; Mk 12:19
Kum. 25:6Mwa 38:9; Ru 4:10, 14
Kum. 25:6Hes 27:4; 2Sa 18:18
Kum. 25:7Ru 4:4
Kum. 25:8Ru 4:6
Kum. 25:9Ru 4:7
Kum. 25:9Hes 12:14
Kum. 25:9Kum 25:5
Kum. 25:11Law 21:20; Kum 23:1
Kum. 25:12Kum 19:13, 21
Kum. 25:13Met 11:1; 16:11; 20:10; Mik 6:11
Kum. 25:14Kut 16:36; Law 19:36; Eze 45:10; Amo 8:5
Kum. 25:15Kum 4:40; 1Pe 3:10
Kum. 25:16Law 19:35; Ro 9:14
Kum. 25:17Kut 17:8; Hes 24:20
Kum. 25:18Kut 15:16; Zb 36:1; Ro 3:18
Kum. 25:19Yos 22:4
Kum. 25:19Kut 17:14; 1Sa 14:48; 15:3; 1Nya 4:43; Est 3:1; 7:10
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Kumbukumbu la Torati 25:1-19

Kumbukumbu la Torati

25 “Ikiwa mzozo utatokea kati ya watu,+ nao wamejitokeza kwa ajili ya hukumu,+ watawahukumu na kumtangaza mwadilifu kuwa mwadilifu na mwovu kuwa mwovu.+ 2 Na itatukia kwamba ikiwa yule mwovu anastahili kupigwa,+ atalazwa kifudifudi na mwamuzi na kupigwa+ mbele yake kwa hesabu inayolingana na tendo lake baya. 3 Anaweza kumpiga kwa mapigo 40. Asiongeze lolote, asije akaendelea kumpiga kwa mapigo mengi zaidi ya hayo+ naye ndugu yako afedheheke machoni pako.

4 “Hupaswi kumfunga kinywa ng’ombe-dume anapopura.+

5 “Ikiwa ndugu wanakaa pamoja na mmoja wao awe amekufa bila kuwa na mwana wa kiume, mke wa yule aliyekufa asiwe wa mwanamume mgeni wa nje. Ndugu-mkwe wake anapaswa kumwendea, naye lazima amchukue awe mke wake na kufanya ndoa ya ndugu-mkwe pamoja naye.+ 6 Na itatukia kwamba mzaliwa wa kwanza atakayemzaa ataendeleza jina la ndugu yake aliyekufa,+ ili jina lake lisifutwe kutoka katika Israeli.+

7 “Sasa ikiwa mwanamume huyo hapendezwi kumchukua mjane wa ndugu yake, mjane wa ndugu yake ataenda langoni kwa wanaume wazee+ na kusema, ‘Ndugu ya mume wangu amekataa kuhifadhi jina la ndugu yake katika Israeli. Hakukubali kufanya ndoa ya ndugu-mkwe pamoja nami.’ 8 Nao wanaume wazee wa jiji lake watamwita na kusema naye, naye atasimama na kusema, ‘Sikupendezwa kumchukua.’+ 9 Ndipo mjane wa ndugu yake atamkaribia mbele ya macho ya wanaume wazee, avue kiatu cha mwanamume huyo kutoka mguuni+ pake, amtemee mate usoni,+ ajibu na kusema, ‘Hivyo ndivyo inavyopaswa kufanyiwa mwanamume ambaye hatajenga nyumba ya ndugu yake.’+ 10 Nalo jina lake litaitwa katika Israeli ‘Nyumba ya yule ambaye kiatu chake kilivuliwa.’

11 “Ikiwa wanaume wawili watapambana pamoja, na mke wa mmoja awe amekuja karibu ili kumkomboa mume wake kutoka mkononi mwa yule anayempiga, naye ameunyoosha mkono wake na kumkamata sehemu zake za siri,+ 12 basi lazima utaukata mkono wa mwanamke huyo. Jicho lako lisiwe na huruma.+

13 “Hupaswi kuwa na aina mbili za mawe ya mizani katika mfuko wako,+ kubwa na dogo. 14 Hupaswi kuwa na aina mbili za vipimo vya efa+ nyumbani mwako, kikubwa na kidogo. 15 Utaendelea kuwa na kipimo cha uzito kilicho sahihi na cha haki. Utaendelea kuwa na kipimo cha efa kilicho sahihi na cha haki, ili siku zako ziwe ndefu kwenye nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe.+ 16 Kwa maana kila mtu anayefanya mambo haya, kila anayefanya ukosefu wa haki, ni chukizo kwa Yehova Mungu wako.+

17 “Jambo ambalo Amaleki alikutendea njiani mlipokuwa mkitoka Misri, likumbukwe,+ 18 jinsi alivyokukuta njiani naye akaanza kupiga upande wa nyuma wale wote waliokuwa wanajikokota nyuma yako, nawe ulikuwa umeishiwa na nguvu na kuchoka; naye hakumwogopa Mungu.+ 19 Na itatukia kwamba wakati ambapo Yehova Mungu wako atakuwa amekupumzisha kutokana na adui zako wanaokuzunguka pande zote katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa iwe urithi ili uimiliki,+ utafutilia mbali jina la Amaleki kutoka chini ya mbingu.+ Hupaswi kusahau.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki