13 Kutoka huko wakasafiri na kupiga kambi katika eneo la Arnoni,+ lililo katika nyika inayosambaa kutoka katika mpaka wa Waamori; kwa maana Arnoni ni mpaka wa Moabu, kati ya Moabu na Waamori.
16 Na Warubeni+ na Wagadi nimewapa kutoka Gileadi+ hadi kwenye bonde la mto la Arnoni, mpaka ukiwa ni katikati ya lile bonde la mto, hadi Yaboki, lile bonde la mto lililo mpakani mwa wana wa Amoni;+