Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 22:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Na yule punda akamwona malaika wa Yehova akiwa amesimama barabarani, upanga wake uliochomolewa ukiwa mkononi mwake;+ na yule punda akajaribu kugeuka kando kutoka barabarani aende shambani, lakini Balaamu akaanza kumpiga punda ili kumgeuza na kumrudisha barabarani.

  • Hesabu 22:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Naye punda-jike huyo akaendelea kumwona malaika wa Yehova na kuanza kujifinyia ukutani na hivyo kuufinya mguu wa Balaamu ukutani; naye akazidi kumpiga.

  • Hesabu 22:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Punda huyo alipomwona malaika wa Yehova akalala chini, chini ya Balaamu; hivi kwamba hasira ya Balaamu ikawaka,+ naye akaendelea kumpiga punda kwa fimbo yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki