-
Yoshua 4:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Karibu watu 40,000 waliotayarishwa kijeshi wakavuka mbele za Yehova kwa ajili ya vita kwenda katika nchi tambarare za jangwa la Yeriko.
-