Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Ila wake zenu na watoto wenu na mifugo yenu (najua kwamba mna kiasi kikubwa cha mifugo) wataendelea kukaa katika majiji yenu ambayo nimewapa ninyi,+

  • Kumbukumbu la Torati 29:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Baada ya hilo tukachukua nchi yao na kuwapa Warubeni na Wagadi na nusu ya kabila la Manase iwe urithi.+

  • Yoshua 13:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na pamoja na ile nusu nyingine ya kabila, Warubeni na Wagadi walichukua urithi wao ambao Musa aliwapa ng’ambo ya Yordani iliyo upande wa mashariki, kama vile Musa mtumishi wa Yehova alivyokuwa amewapa,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki