Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Nasi tukaitwaa nchi hii wakati huo; kutoka Aroeri,+ kando ya bonde la Arnoni, na nusu ya eneo lenye milima la Gileadi, na majiji yake nimewapa Warubeni na Wagadi.+

  • Yoshua 1:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kwanza Yehova atakapowapa ndugu zenu pumziko kama vile alivyowapa ninyi, nao pia wawe wameirithi nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa,+ ndipo mtakaporudi katika nchi ya urithi wenu na kuimiliki,+ nchi ile ambayo Musa mtumishi wa Yehova amewapa ng’ambo ya Yordani upande wa mashariki.’”+

  • Yoshua 13:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na pamoja na ile nusu nyingine ya kabila, Warubeni na Wagadi walichukua urithi wao ambao Musa aliwapa ng’ambo ya Yordani iliyo upande wa mashariki, kama vile Musa mtumishi wa Yehova alivyokuwa amewapa,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki