Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 19:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 “Lakini ikiwa kutakuwako mtu anayemchukia+ mwenzake, naye amemvizia, akainuka juu yake, akaipiga nafsi yake na kuiua naye amekufa,+ na mtu huyo amekimbilia moja la majiji hayo,

  • Kumbukumbu la Torati 19:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 ndipo wanaume wazee wa jiji lake watatuma watu na kumchukua kutoka humo, nao watamtia mkononi mwa mlipiza-kisasi cha damu, naye lazima afe.+

  • Yoshua 20:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na mlipiza-kisasi cha damu akimfuatilia, basi wao hawapaswi kumtia muuaji huyo mkononi mwake;+ kwa maana alimpiga akamuua mwenzake bila kujua, wala hakuwa akimchukia hapo zamani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki