Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 35:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Na majiji hayo yatatumika kwenu yakiwa makimbilio ili kumkimbia mlipiza-kisasi cha damu,+ kusudi muuaji asife mpaka asimame mbele ya kusanyiko kwa ajili ya hukumu.+

  • Yoshua 20:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Naye atakimbilia+ moja la majiji hayo na kusimama hapo kwenye mwingilio wa lango+ la jiji na kusema maneno yake masikioni mwa wanaume wazee+ wa jiji hilo; nao watampokea kwao ndani ya jiji na kumpa mahali, akae pamoja nao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki