Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 35:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 “‘Mlipiza-kisasi+ cha damu ndiye atakayemuua huyo muuaji wa kukusudia. Hapo atakapokutana naye atamuua.

  • Kumbukumbu la Torati 19:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kama sivyo mlipiza-kisasi+ cha damu, kwa sababu moyo wake una moto, anaweza kumfuatilia muuaji, amfikie, kwa kuwa njia ni ndefu; naye anaweza kuipiga nafsi yake na kuiua, ingawa hakuna hukumu ya kifo+ kwa ajili yake, kwa sababu hakuwa akimchukia hapo kwanza.

  • Yoshua 20:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Hayo yakawa majiji yaliyochaguliwa kwa ajili ya wana wote wa Israeli na kwa ajili ya mkaaji mgeni anayekaa akiwa mgeni katikati yao, ili mtu yeyote anayepiga nafsi na kuiua bila kukusudia akimbilie humo,+ asife mkononi mwa mlipiza-kisasi cha damu mpaka atakaposimama mbele ya kusanyiko.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki