Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 5:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Lakini wewe, ikiwa umegeuka kando ukiwa chini ya mume wako+ na ikiwa umejitia unajisi na mwanamume fulani ametia ndani yako shahawa zake zilizomtoka,+ isipokuwa mume wako,⁠—”

  • Hosea 4:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Wao hutoa dhabihu juu ya vilele vya milima,+ nao hufukiza moshi wa dhabihu juu ya vilima,+ chini ya mti mnene na mlubna na mti mkubwa, kwa sababu kivuli chake ni kizuri.+ Ndiyo sababu binti zenu hufanya uasherati na binti-wakwe zenu hufanya uzinzi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki