19 “‘Naye kuhani lazima amwapishe, naye atamwambia mwanamke huyo: “Ikiwa hakuna mwanamume yeyote ambaye amelala nawe na ikiwa hujageuka kando katika uchafu wowote huku ukiwa chini ya mume wako,+ uwe huru na madhara ya maji haya machungu yanayoleta laana.