Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 33:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Pia ikatukia kwamba mara tu Musa alipokuwa ameingia ndani ya hema, ile nguzo ya wingu+ ilishuka chini, nayo ikasimama kwenye mwingilio wa hema na yeye akasema+ na Musa.

  • Hesabu 12:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kisha Yehova akashuka katika nguzo ya wingu+ na kusimama kwenye mwingilio wa hema na kuwaita Haruni na Miriamu. Nao wakaenda nje.

  • Kumbukumbu la Torati 31:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Ndipo Yehova akaonekana katika hema katika nguzo ya wingu, na hiyo nguzo ya wingu ikaanza kusimama kwenye mlango wa hema.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki