- 
	                        
            
            Kumbukumbu la Torati 18:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        3 “Sasa hii itaendelea kuwa haki wanayostahili makuhani kutoka kwa watu, kutoka kwa wale wanaotoa dhabihu, iwe ni ng’ombe-dume au kondoo: Mtu atampa kuhani mfupa wa bega na mataya na tumbo. 
 
-