Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 29:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 ili pasiwe kati yenu mwanamume au mwanamke au familia au kabila ambalo moyo wake leo unageuka mbali na Yehova Mungu wetu ili kwenda na kuitumikia miungu ya mataifa hayo;+ ili kusiwe kati yenu mzizi unaozaa tunda la mti wenye sumu na pakanga.+

  • 1 Samweli 12:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Lakini mkifanya yaliyo mabaya bila kujali, ninyi pamoja na mfalme wenu+ mtafagiliwa mbali.”+

  • Waebrania 3:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Jihadharini, akina ndugu, ili moyo mwovu unaokosa imani usije ukasitawi ndani ya yeyote kati yenu kwa kujiondoa kwa Mungu aliye hai;+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki