Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:59
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 59 ndipo hakika Yehova atayafanya mapigo yako na mapigo ya uzao wako yawe makali sana, mapigo makuu na yenye kudumu kwa muda mrefu,+ na magonjwa hatari na yenye kudumu kwa muda mrefu.+

  • Kumbukumbu la Torati 29:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 “Nacho kizazi cha wakati ujao, wana wenu watakaoinuka baada yenu, watalazimika kusema, pia mgeni atakayekuja kutoka katika nchi ya mbali, naam, wakati ambapo wameona mapigo ya nchi hiyo na magonjwa yake ambayo Yehova ameifanya iugue,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki