Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 25:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Kwa hiyo mtazishika sheria zangu na kufuata maamuzi yangu ya hukumu na kuyatenda. Ndipo mtakapokaa katika nchi hiyo kwa usalama.+

  • Hesabu 36:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Hizi ndizo amri+ na maamuzi ya hukumu ambayo Yehova aliwaamuru wana wa Israeli kupitia Musa, katika nchi tambarare za jangwa la Moabu kando ya Yordani, huko Yeriko.+

  • Kumbukumbu la Torati 6:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “Sasa hizi ndizo amri, masharti na maamuzi ya hukumu ambayo Yehova Mungu wenu ameamuru mfundishwe,+ ili myatende katika nchi mnayovuka ili kuimiliki;

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki